Nani anatoa 'kitita' cha kuwahamisha Wamasai kutoka Ngorongoro? Tunapata faida gani kama Taifa?

Nenda kamwulize mbunge wako.
 
Mzanzibari mmoja wa kike
Dubai
Saudi
Oman
 
Maneno hata chiriku anaongea,tuwekee ushahidi
 
NGORO NGORO ILIKUWA INAKWENDA KUGEUKA JIJI, HONGERA SEREKALI KWA MAAMUZI HAYA YA HEKIMA, BAADA YA KUGEUKA JIJI NA WANYAMA KUHAMA NADHANI NDICHO CHADEMA WALICHOKIHITAJI.I
#Si kila mtanzania ni nyumbu asiye na akili.
 
Na kama ni mwarabu hii ni pure treason! Mahakama ihusike haraka!!
 
Faida anapata muwekezaji, hakuna cha bure dunia hii, kuna mstaafu moja alikuwa anasema ukitaka Kula lazima uliwe
 
Watanzania tupo kama kiroba unqkirundika KOKOTE unakiachq Nouma hakuna tunaswagwa kama ndezi
 
Duuh
 

Sia mini aiseeh mwinyi aliwaza nini kufanya hivi?
 
Unajichanganya Kati ya Loliondo na Ngorongoro Crater?
Akiwepo Rais yoyote akiuza raslimali yoyote hasa ardhi na kumilikisha wageni baada ya kuwahamisha wenyeji kwa fedha za mwekezaji ni UHAINI
 
Masrahi ya taifa mkuu unataka kuniambia mpaka bunge linajua kuhusu hili Jambo?
 
Maarahi ya taifa mkuu unataka kuniambia mpaka bunge linajua kuhusu hili Jambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…