HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,238
- 1,577
Hilo eneo limeshauzwa.Haihitaji digrii kiling'amua hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuja kuwanyang'anya tenaHilo eneo lilishauzwa kwa waarabu kipindi cha mwinyi ambapo mkapa aliwanyang'anya eneo hilo na kuwatimua. Alipoingia mama Samia alitembelewa na rais mwinyi kuambiwa hilo suala ambapo alienda UAE na ndege ya rais ilishikiliwa kutokana na wao kunyang'anywa eneo lao licha ya kuwa na documents za hati ya mauziano. Baada ya kuzungumza nao ikabidi wawarudishie eneo na kupelekea kuwatoa wamasai waliokuwepo kwenye hilo eneo.
Mkuu kama una kiwanja pale Kariakoo sheria inakutaka ukibomoa jengo la zamani ujenge jengo ghorofa.Pale Kariakoo Wakinga wamewahamisha Wazaramu wote
Dunia ina uonevu sana
Wakinga Mungu anawaona 🐼😂
Hilo eneo kuna Mzungu analichukua anajenga Hoteli atakuwa ubia na BibiNipo hapa Arusha. Jana nami niliyashuhudia (lakini sikushiriki) maandamano ya amani ya CHADEMA katika viunga vya jiji la Arusha. Sikwami wala kuogopa kusema kuwa yalikuwa ni maandamano makubwa; washiriki walikuwa wamejipanga kila anga na yalipeperusha hoja za haja.
Kabla ya jana, nilioneshwa (na wahusika hasa) nyaraka za operesheni ya kuwaondoa/kuwahamisha Wamasai kutoka kwenye hifadhi ya Ngorongoro kuwapeleka wilayani Handeni mkoani Tanga. Nimeona kuwa hadi sasa, zaidi ya kaya/familia elfu moja zimeshahamishiwa Handeni.
Kwa mujibu wa nyaraka husika, kila kaya inayohamishiwa Handeni inapewa nyumba, shamba na pesa taslimu shilingi milioni kumi. Kimahesabu, hadi sasa kumeshatumika zaidi ya shilingi bilioni kumi ya pesa taslimu-achilia mbali zile za ujenzi wa nyumba na mashamba.
Nani anagharimia zoezi hili linalotumia mabilioni ya shilingi? Kama ni Serikali, bajeti ya zoezi hili imepangwa/imetengwa kwenye wizara gani na ni kwa bajeti ya mwaka upi wa fedha? Faida gani itakayopatikana, ikilinganishwa na hasara, kutokana na zoezi hili?
Sukari imekuwa hatari!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Sombetini, Arusha)
Waarabu ni Loliondo, Tarafa ya Ngorongoro ndio wamasai wanahamishwaHilo eneo lilishauzwa kwa waarabu kipindi cha mwinyi ambapo mkapa aliwanyang'anya eneo hilo na kuwatimua. Alipoingia mama Samia alitembelewa na rais mwinyi kuambiwa hilo suala ambapo alienda UAE na ndege ya rais ilishikiliwa kutokana na wao kunyang'anywa eneo lao licha ya kuwa na documents za hati ya mauziano. Baada ya kuzungumza nao ikabidi wawarudishie eneo na kupelekea kuwatoa wamasai waliokuwepo kwenye hilo eneo.
Waarabu ni Loliondo, tarafa ya Ngoringoro kuna Wazungu paleWaaranu waliouziwa hilo eneo wanagharamia kwa kushirikiana na JWTZ na SUMA JKT
Njoo na cv yako bandariniAnagharamia Boss la DP World
Maslahi ya Taifa kwa kuondoshwa kwa Wamaasai pale Ngorongoro ni yapi!!??Rudisheni maeneo yote ya makabila hata barabara zifutwe sababu zinapita katika maeneo ya makabila - turudi kuishi misituni sote.
Wamasai wenyewe wanafaidika na rasilimali zinazo toka maeneo ya makabila au mikoa mingine.
Acheni ujinga dunia inasonga mbele hakuna tena eneo la kabila fulani lisiguswe ikiwa kuna maslahi ya taifa