Nani anatoa 'kitita' cha kuwahamisha Wamasai kutoka Ngorongoro? Tunapata faida gani kama Taifa?

Watakuja kuwanyang'anya tena
 
Hilo eneo kuna Mzungu analichukua anajenga Hoteli atakuwa ubia na Bibi
 
Waarabu ni Loliondo, Tarafa ya Ngorongoro ndio wamasai wanahamishwa
 
Maslahi ya Taifa kwa kuondoshwa kwa Wamaasai pale Ngorongoro ni yapi!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…