Nani anatumia jina la Zawadi Mauya pale Yanga kwenye mashindano ya CAF Champions League?

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Habari za mda huu Wana michezo Kila ukiangalia squad ya yanga akiwa anacheza Champions league kuanzia mechi ya kwanza na Al HILAL naona jina la zawadi MAUYA

Nikajua maybe ni kosa la AZAM TV mechi ya juzi na MC ALGER pia jina Hilo limejitokeza

Je yanga mambo yao yanaendeshwa kihuni tu bila protocal team Haina watu smart wenye akili?
 
Ndugu mbumbumbu uwe unatumia akili kidogo ata kama kichwa chako kinatumika kama kifuniko Cha kiwiliwili.
Line up imetolewa na Tv station sio CAF inatakiwa ujiulize TV station imetoka wapi Jina ilo.
Zawadi Mauya hayupo katika wachezaji wa Yanga walio sajiliwa CAF katika michezo ya kimataifa.
Zawadi Mauya hakuwepo katika wachezaji walio shiriki katika zoezi la kaguliwa Leseni kabla ya Kuanza mchezo.
Ilo ni kosa lililofanywa na TV station iliyokua inarusha matangazo ya Moja kwa moja, Cha kujiukiza ilo Jina wali litoa wapi na kulipachika apo.
 
Na sio zawadi Mauya peke yake bali niliona hadi jina la metacha mnata kwenye ile line up ya kwenye TV
 
UMASIKINI.
UJINGA
MARADHI.

MAADUI HAWA WANALITESA TAIFA MWAKA WA 63 SASA.

HERI YA SIKUKUU YA UHURU TANGANYIKA.
 
toka hapa na ngonjera zako hizi za kila siku. Kama vipi sekta ya utamaduni na michezo ifutwe tubaki tunapambana na huo umaskini,maradhi na ujinga si ndio furaha yako?
 
Back
Top Bottom