Na sio zawadi Mauya peke yake bali niliona hadi jina la metacha mnata kwenye ile line up ya kwenye TVNdugu mbumbumbu uwe unatumia akili kidogo ata kama kichwa chako kinatumika kama kifuniko Cha kiwiliwili.
Line up imetolewa na Tv station sio CAF inatakiwa ujiulize TV station imetoka wapi Jina ilo.
Zawadi Mauya hayupo katika wachezaji wa Yanga walio sajiliwa CAF katika michezo ya kimataifa.
Zawadi Mauya hakuwepo katika wachezaji walio shiriki katika zoezi la kaguliwa Leseni kabla ya Kuanza mchezo.
Ilo ni kosa lililofanywa na TV station iliyokua inarusha matangazo ya Moja kwa moja, Cha kujiukiza ilo Jina wali litoa wapi na kulipachika apo.
Mimi nashauri tumuulize Mwanasheria nguli Alhaj Ismail Aden Rage kwa ufafanuzi zaidi! Unaonaje?Yanga wenyewe wanasemaje?
Mwanasheria wenu kimeo mmemtema?Mimi nashauri tumuulize Mwanasheria nguli Alhaj Ismail Aden Rage kwa ufafanuzi zaidi! Unaonaje?
toka hapa na ngonjera zako hizi za kila siku. Kama vipi sekta ya utamaduni na michezo ifutwe tubaki tunapambana na huo umaskini,maradhi na ujinga si ndio furaha yako?UMASIKINI.
UJINGA
MARADHI.
MAADUI HAWA WANALITESA TAIFA MWAKA WA 63 SASA.
HERI YA SIKUKUU YA UHURU TANGANYIKA.