Nani anatuwakilisha BRICS Summit - South Africa?

Tumealikwa kuhudhuria BRICS Summit huko bondeni. Nani maakilishi huko?

NB: Mhe Dr Chakwera toka nchi jirani yupo SA yapata wiki Sasa.
Hapo ndio utajua tuna rais wa aina gani. Unaweza kukuta samia katii shinikizo la nchi za magharibu kususia BRICS. Inawezekana hatuhudhurii kitu kinawafurahisha westerners.
BRICS ni ukombozi toka makucha ya wamagharibi. Kama tz hatuoni umuhimu wa BRICS ndio maana tunajiingiza mkenge kwa wezi wa kimataifa kama DPW.
 
Kama katii basi katumia akili maana tuna maslahi na beberu kuliko hao njaa Kali

View: https://twitter.com/siadevinci/status/1694070518440178118?t=brUOKi31ue-0jp01LQbMcQ&s=19
 
Tumealikwa kuhudhuria BRICS Summit huko bondeni. Nani maakilishi huko?

NB: Mhe Dr Chakwera toka nchi jirani yupo SA yapata wiki Sasa.
Mkwea mapipa tayari ameshatua downtown tayari ushiriki wa BRICS (Brazil-Russia-China-South Africa)
 
Back
Top Bottom