Nani anaukumbuka huu uongo wa Serikali ya Samia?

Duh.. Kama hiyo kauli aliitoa mama basi alipelekwa chaka na washauri wake
 
SGR itaanzaje wakati UMEME hautoshi?

SGR itaanzaje wakati bado hawajamaliza kujenga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…