Kuna watu maisha wanayachukulia serious, Kuna wakati wa huzuni na furaha ndivyo maisha yalivyo. Sasa ww unasema matamasha hayana mchango wowote, lkn hujui kila ticket moja inayouzwa TRA wanapata kodi, hiyo kodi ndiyo inaenda kujenga hospital mabarabara, sasa usiyeona mchango wa haya matasha siku elewi na hapo bado lina tengeneza ajira mf wafunga majukwaa na mziki, wauza chakula na vinywaji na bado lina stimulate biashara ktk sehemu husika mf hotel, tax, boda boda ambao wote wanalipa kodi TRA. Mnataka kufanya maisha magumu utazani tupo vitani.