Nani Anawadharau WCB?

Nani Anawadharau WCB?

Hivi huu upuuzi wa matamasha kwa nini badala ya matamasha ifnyike harambee kwa ajili ya kuchangie elimu na afya?.inasikitisha serikali bado inavumilia huu upuuzi wa matamasha.
 
Watu mnafurahisha sana fanya wewe hizo harambee hakuna aliyekuzuia.
Burudani ni kati ya vyanzo vya mapato inaitwa entertainment industry ni kiwanda kikubwa cha kuzalisha ajira na kuingiza kipato. Mfano ukitajiwa namba ya watu walioko nyuma ya Fiesta utagundua kuna ajira kubwa sana nyuma yake ni zaidi ya watu 50 ambao hata hujawahi kuwasikia na si watangazaji.
Acha upoyoyo ,hizo ajira hata kama zipo si rasmi ,kwa maana hiyo haya matamasha miradi ya wajanja kutumia vijana wa kitanzania ambao uelewa wao ni mdogo kama ambavyo kuna wachungaji wanatumia jina la Yesu kuwapiga akina mama ,dada na baba zetu kwa kisingizip cha kuponya na kukemea mapepo .
 
Ukweli mmepishana sana kimtazamo. Lakini wewe umeanza kupoteza utu.
Sijapoteza utu ni kwamba hatuwezi kuwa serious muda wote ni kwamba inabidi sometimes uburudike, na kwasasa ngoja labda ni kutaarifu kwamba kutokana na research watu wafanyakazi wanaofurahi zaidi wanaongeza uzalishaji mpaka kwa 12%. Google wame invest sana kuwezesha hii na kuna kitu kinaitwa Wellmee kiko mbionikuanzishwa kufuatilia kama watu hasa wafanyakazi wanafanya yale wanayo yapenda ili wawe na furaha.
Entertainment industry acha watu wale mziki ili mradi wasikiuke sheria za nchi lakini kama ni mziki na watu kuburudika na inafanyika baada ya muda wa kazi weekend acha wale. Kile ni kiawnda cha kuzalisha mapato. Hivi ushawahi kukaa ukatafakari ni watu wangapi watapoteza ajira na mapato hiki kiwanda kikifungwa na impact yake kwenye uchumi wa nchi?
 
Acha upoyoyo ,hizo ajira hata kama zipo si rasmi ,kwa maana hiyo haya matamasha miradi ya wajanja kutumia vijana wa kitanzania ambao uelewa wao ni mdogo kama ambavyo kuna wachungaji wanatumia jina la Yesu kuwapiga akina mama ,dada na baba zetu kwa kisingizip cha kuponya na kukemea mapepo .
wewe ndioyo una mawazo ya kipoyoyo na hujui lolote kuhusu uchumi yani nyie ndiyo wale watu mnahisi mnajua kumbe hakuna unalojua wewe ni poyoyo kabisa. Tena watu kama nyinyi ndiyo mnafanya maovu makubwa mbele ya watu mnafajifanya walokole.
Vijana wamejiajiri kupitia mziki na matamasha acha wafanye kama wataka kuchangia elimu ni kitu kizuri nami naunga mkono fanya wewe lakini siyo kulazimisha aliyeamua kufanya hiki afungiwe kwani wewe nani kakuzuia kufanya harambee za kuchangia elimu?
 
U
Sijapoteza utu ni kwamba hatuwezi kuwa serious muda wote ni kwamba inabidi sometimes uburudike, na kwasasa ngoja labda ni kutaarifu kwamba kutokana na research watu wafanyakazi wanaofurahi zaidi wanaongeza uzalishaji mpaka kwa 12%. Google wame invest sana kuwezesha hii na kuna kitu kinaitwa Wellmee kiko mbionikuanzishwa kufuatilia kama watu hasa wafanyakazi wanafanya yale wanayo yapenda ili wawe na furaha.
Entertainment industry acha watu wale mziki ili mradi wasikiuke sheria za nchi lakini kama ni mziki na watu kuburudika na inafanyika baada ya muda wa kazi weekend acha wale. Kile ni kiawnda cha kuzalisha mapato. Hivi ushawahi kukaa ukatafakari ni watu wangapi watapoteza ajira na mapato hiki kiwanda kikifungwa na impact yake kwenye uchumi wa nchi?
Unaweza tupa hesaba ni kiasi gani fiesta inaingiza kama mapato kwa serikali?
 
Kawaulize TRA, hiyo ndiyo kazi yao. Ila hata kwa kutazama tu imeajiri watu wengi unapofika msimu wakati wewe hapo huenda hujaajiri hata mtu mmoja. Huna unalojua kuhusu uchumi na ndilo tatizo linalo face Tanzania watu kufanya maamuzi bila kuwa na taaluma
 
V
wewe ndioyo una mawazo ya kipoyoyo na hujui lolote kuhusu uchumi yani nyie ndiyo wale watu mnahisi mnajua kumbe hakuna unalojua wewe ni poyoyo kabisa. Tena watu kama nyinyi ndiyo mnafanya maovu makubwa mbele ya watu mnafajifanya walokole.
Vijana wamejiajiri kupitia mziki na matamasha acha wafanye kama wataka kuchangia elimu ni kitu kizuri nami naunga mkono fanya wewe lakini siyo kulazimisha aliyeamua kufanya hiki afungiwe kwani wewe nani kakuzuia kufanya harambee za kuchangia elimu?
Vijana gani hao waliojiajiri ambao hawalipi kodi serikalini ?zaidi ya kuchezesha nyimbo za kipuuzi tu zisizokuwa na maana kwa kupanua jamii kimawazo mmeamua kutumia elimu duni ya vijana wetu kuwaibia watanzania maskini kwa matamasha yenu .Ipo siki serikali itashtula na itayafungie tu .Radio zetu zinakesha kutangaza matamasha badala ya kukesha kuhamasisha ushindani kwenye elimu na hata biashara
 
K
Kawaulize TRA, hiyo ndiyo kazi yao. Ila hata kwa kutazama tu imeajiri watu wengi unapofika msimu wakati wewe hapo huenda hujaajiri hata mtu mmoja. Huna unalojua kuhusu uchumi na ndilo tatizo linalo face Tanzania watu kufanya maamuzi bila kuwa na taaluma
Kukusanya wajinga kwenye matamasha yanayopiga nyimbo za mapenzi tu ndio taaluma ?
 
Hivi huu upuuzi wa matamasha kwa nini badala ya matamasha ifnyike harambee kwa ajili ya kuchangie elimu na afya?.inasikitisha serikali bado inavumilia huu upuuzi wa matamasha.
ww ndiyo mpuuzi, Kama serikali inaruhusu harambee za kuchangia afya na elimu ww ushafanya harambee ngapi mpaka sasa???unataka afanye nani,au ww unadhani hzo harambee ni za muhimu ila hazikuhusu???acha ujinga
 
Acheni kabisa kuwarubuni vijana wa kitanzania ambao hawa uelewa wa mambo kwa ajili ya faida yenu ,hivi embu tuambie kijana wa darasa la saba anahudhuria haya matamasha atakuwa amejifunza nini? Sana sana atakachojifunza ni kuvaa trouser chini ya makalio?je wewe unaona fahari kuharibu kizazi cha watanzania kwa upuuzi wa matamsha yenu?
 
Kuna watu maisha wanayachukulia serious, Kuna wakati wa huzuni na furaha ndivyo maisha yalivyo. Sasa ww unasema matamasha hayana mchango wowote, lkn hujui kila ticket moja inayouzwa TRA wanapata kodi, hiyo kodi ndiyo inaenda kujenga hospital mabarabara, sasa usiyeona mchango wa haya matasha siku elewi na hapo bado lina tengeneza ajira mf wafunga majukwaa na mziki, wauza chakula na vinywaji na bado lina stimulate biashara ktk sehemu husika mf hotel, tax, boda boda ambao wote wanalipa kodi TRA. Mnataka kufanya maisha magumu utazani tupo vitani.
 
Kwa hiyo kuharibu vijana vs kutoa ajira ni kipi Bora?
 
Write your reply...
wasafi na clouds zinamilikiwa na mtu mmoja, huyo mtu ana akili sana, anatengeneza upinzani wa hivi vituo viwili ili kupiga hela, anafanya vilevile alivyofanya kwa kiba na diamond,... yuko mtu ni masterplan wa hii mambo
 
Hivi huu upuuzi wa matamasha kwa nini badala ya matamasha ifnyike harambee kwa ajili ya kuchangie elimu na afya?.inasikitisha serikali bado inavumilia huu upuuzi wa matamasha.
hiyo ni kazi ya serikali...! Acha vijana wafanye business, walipe kodi zikatengeneze madawati na zahanati!
 
Pepsi ni brand kubwa ila Tigo ina pesa kubwa
 
Back
Top Bottom