Nani anawatumia Gen z kutaka kuangusha dola? Au ndio Mapinduzi kama ya Cuba?

Nani anawatumia Gen z kutaka kuangusha dola? Au ndio Mapinduzi kama ya Cuba?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Rais Samia alisema akiwa anawahutubia wazee wa Dar. Kuwa tar 29 oktoba kuna watu walipanga kuangusha dola. Ndio maana nguvu kubwa ikatumika kuua watu wasio na hatia.

Nani anataka kuchukua kiti cha urais kupitia Gen z?

Je , haya yanayonukia sio mapinduzi kama ya Cuba ili kuondo mafisadi wanaofaidi nchi peke yao?
 
vijana kitaa wamejiandaaa noma mazeee ni shedaah....wazee tumekimbilia mikoani
 
Back
Top Bottom