Nani anaweza kuthibitisha kuwa binadamu ni udongo?

Shule unafundishwa jinsi ya kuwa critical thinker kuelewa mazingira yanayokuzunguka, na ufanyeje kukabiliana na changamoto zake. Sasa ukiniambia shuleni umekaririshwa je kwenye dini tusemeje??
Shule haitakiwi ikufundishe vitu mkuu, bali ikufungue upeo wa wewe kujielewa na ulimwengu wote. Tatizo tunalopata mashileni ni kuwafundisha wanafunzi vitu tunavyovijua sisi badala ya kuwaacha wakifunze wenyewe kwa uwezo binafsi waliozaliwa nao
 
Huu ni upuuzi na ndiyo chanzo cha umasikini, ujinga, unyanyasaji wa wanawake, fujo au makundi ya kigaidi. Unashika maneno ka mtoto bila kuuliza swali, huo ubongo mpe mwingine tu maana obviously hujui kuutumia, unamaliza oxygen tu.
basi endelea kuamini kama sayansi inavyodai wewe na familia yako wajomba zenu manyani
 
Zipo kwasababu anakula vitu kutoka ardhini na sii kwasababu ameumbwa navyo! Kwanza hamna uthibitisho wa kuumbwa kwa mwanadamu
Asipokula vitu toka ardhini atakufa pia!. so yeye na hivyo vitu vitokavyo ardhini ni kitu kimoja rudia soma FOOD CHAIN
 
Mkuu wacha masikhara!!!dhahabu,almas,rubby vinapatkana wap mwilini aisee tuanze kujipiga maoperation bubu??
mwili wako una kama 0.001 mlg ya kiwango cha dhahabu so wafungie wana ukoo wako kama 70+ uwafanyie extraction process uivune dhahabu hata robo gramm kauze!.
 
Swali la pili naombeni nafsi ni nin na kaz zake ni zipi pia naomba kupewa mahusiano ya karibu katika ya moyo na nafsi . kipi kina umuhimu zaid na kina nguvu kuliko kingine katika maisha ya kila siku ya binadamu
Nafsi ni kitu kisichoonekana lakini kinachotupa utofauti wa mimi na wewe (personality). Hebu fikiria una mtoto kafanana na wewe kimuonekano lakini bado anakuja kuwa na mawazo na akili ya kwake kivyake ataweza fata kanuni zako lakini atazifanya kwa njia yake!.
Pia ndio kiini cha uhai wa kila kiumbe, unaweza mtengeneza binadamu lakini kumuamsha akapumua ndipo ulipo mtihani maana anakuwa hana nafsi!.
 
Naona unataka kushindana na mambo ya vitabu vitakatifu!!

Ukitoka kwa hayo maswali usisahau kuuliza na uthibitisho wa Mungu yupo na anaishi wapi!!

Siku njema
 
basi endelea kuamini kama sayansi inavyodai wewe na familia yako wajomba zenu manyani
Akili yako mbovu we jamaa. Mtoto akikua mtu mzima bado utamuita mtoto? lava akigeuka akawa Kipepeo bado utakiita kile kipepeo lava? Sawa na nyani kudevelop kua binadamu huwezi muita binadamu nyani utakua huna akili. Unapajua mirembe? Kuna hospital moja famous sana pale nakushauri uende wakakucheki watakusaidia sana
 
Kila kiumbe hai Kilichoumbwa na Mungu ni Udongo.. Kasoro vyumaa ambavyo haviwi udongo...!! So hata wew ni udongo..
 
moyo kazi yake ni kusukuma samu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…