Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko na wewe sambambaNaweka kambi, naamini nitajifunza kitu.
Zote kiujumla.Noti au coins?
Coins zina historia mrefu sana ilikuwa ukizikusanya kutokana na uzito wake na usalama ilikuwa unazipeleka kwa mtu muaminifu anakupa kinote au receipt ndio ukawa mwanzo wa notiZote kiujumla.
Nilikuwa nafikiri ni Kireno au kispanishNeno PESA ni tamshi la kihindi
usiweke story za biblia, tunataka utupe mchanganuo wa kisayansi kwamba imekuaje mpaka tumekua na system ya pesa duniani kote, na dola kuwa pesa kuu.Mimi nitatoa ila niweke wazi ni Historia ya pesa toka enzi za kaisari au pesa ya Bongo
#10pesa kama pesa, iwe noti au coin
JF ni google ya waswahili hebu tusaidie kwa kunaoona chenga chenga kwa hiyo lugha ya malkia.Vitu vingine unagugo tu mkuu, easy.
https://www.telegraph.co.uk/finance...wn currency was,card was introduced in 1946.
mkuu usirushe document au link, ingia mzigoni ili tupate kujadili, ukirusha link inamaana unakua muoga wa kuchanganua mambo, hata sisi tuna google, kwani tungeamua kila swali situngeliuliza googleJF ni google ya waswahili hebu tusaidie kwa kunaoona chenga chenga kwa hiyo lugha ya malkia.
Unataka historia ya pesa gani ? kama za hapa tanzania pesa ilikuwepo hata kabla ya mwarabu maana kuna kiwanda cha pesa kilikuwepo huko sehemu za mwambao kabla ya karne ya 15.WAKUU LEO NINA SWALI
SWALI: NANI ANAWEZA KUTUPA HISTORIA YA PESA?