Nani anaweza mjibu kwa ufasaha maswali 3 ambayo kizazi cha Ibrahim Traore kinajiuliza ?

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Rais wa Bukina faso , Ibrahim Traore anadai kizazi chake kuna maswali matatu muhimu ya kujiuliza :-

1.Inawezekanaje Bara lenye utajiri mwingi ardhini kuwa ndio bara maskini kuliko yote Duniani ?

2.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye Njaa ?

3.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye viongozi omba omba kuliko yote ?

Ni nini hasa tatizo ?

View: https://youtu.be/I57bGuxMaPY?si=zYOW0-Ff8hDTUmoq
 
Swali la 4. kwanini Afrika kuna viongozi wanao ahirisha kufikiri kwa nafsi kwa lugha rahisi kuahirisha kufikiri kizalendo, a.k.a kujizima data
 
Africa ingeongozwa kama korea kaskazini ndio ingefika mbali ...Watu wakae ndani wasibabaike na watu wa nje ndio wangejituma kweli kweli
 
Korea hii hii ambayo watu wake wamekosa chakula na kuamua kula mbwa kama chakula Cha kujinusuru.
 
Rais wa Bukina faso , Ibrahim Traore anadai kizazi chake kuna maswali matatu muhimu ya kujiuliza :-

1.Inawezekanaje Bara lenye utajiri mwingi ardhini kuwa ndio bara maskini kuliko yote Duniani ?

2.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye Njaa ?

3.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye viongozi omba omba kuliko yote ?

Ni nini hasa tatizo ?

View: https://youtu.be/I57bGuxMaPY?si=zYOW0-Ff8hDTUmoq

Kuna tatizo la siasa safi na uongozi bora.full stop.ujanja ujanja mwiiiiingi.
 
Maswali yake Wala si magumu
1.uwekezaji mdogo kwenye elimu Bora
2.uwekezaji hafifu kwenye kilimo Bora na Cha kisasa
3.Njia za kupata viongozi sio sahihi
 
Back
Top Bottom