Nani anaweza mjibu kwa ufasaha maswali 3 ambayo kizazi cha Ibrahim Traore kinajiuliza ?

Nani anaweza mjibu kwa ufasaha maswali 3 ambayo kizazi cha Ibrahim Traore kinajiuliza ?

Ana hoja, ilq matumbo yetu nimakubwa sana na wabinafsi mno.

Rushwa adui wa haki
Uzalendo wa mdomoni
Maneno mengi kuliko vitendo
Nk
Captain Ibrahim Traure Mungu ampe maisha marefu hapa duniani. Amevaa viatu vya Thomas Sankara ( RIP) wa Burkina Faso. Maswali yake haya 3 aliyoya ainisha , majibu yake ni kwamba tumekuwa hivi tulivyo kwa sababu tumekosa Kitu kimoja muhimu kati ya vitu 4 ambavyo tunahitaji kuwa navyo katika Mataifa yetu ya kiafrika ili tuendelee . Vutu hivi 4 kulingana na Mwl Nyerere (RIP) , ni Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora. Kwa Mataifa yote ya Kiafrika, karibia vitu hivi vyote vipo kwa wingi tu ( plenty and abundance ) , ila kitu tulichokikosa ni Kimoja tu, ambacho hata hapa kwetu TZ kimekuwa haba sana, na sijui ni lini na wapi tutakipata.
 
Rais wa Bukina faso , Ibrahim Traore anadai kizazi chake kuna maswali matatu muhimu ya kujiuliza :-

1.Inawezekanaje Bara lenye utajiri mwingi ardhini kuwa ndio bara maskini kuliko yote Duniani ?

2.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye Njaa ?

3.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye viongozi omba omba kuliko yote ?

Ni nini hasa tatizo ?

View: https://youtu.be/I57bGuxMaPY?si=zYOW0-Ff8hDTUmoq

Kama wapo baadhi ya Viongozi waliweza kuingia mikataba ya madini kwa kukubali Nchi ipewe asilimia 3 ya mapato ya madini kama ya dhahabu baada ya kutoa gharama zote za Uendeshaji hapo Ibrahima Traore anasemaje ???!!!
Mimi nadhani akisoma hii comment yangu atakuwa ameshapata majibu ya maswali yake yote 😳🙏🙏 !
 
Rais wa Bukina faso , Ibrahim Traore anadai kizazi chake kuna maswali matatu muhimu ya kujiuliza :-

1.Inawezekanaje Bara lenye utajiri mwingi ardhini kuwa ndio bara maskini kuliko yote Duniani ?

2.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye Njaa ?

3.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye viongozi omba omba kuliko yote ?

Ni nini hasa tatizo ?

View: https://youtu.be/I57bGuxMaPY?si=zYOW0-Ff8hDTUmoq

Mwanzo 9 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁸ Wana wa Nuhu waliotoka katika safina, ni Shemu, na Hamu, na Yafethi; na Hamu ndiye baba wa Kanaani.
¹⁹ Hawa watatu walikuwa wana wa Nuhu na kwa hao nchi yote ikaenea watu.
²⁰ Nuhu akaanza kuwa mkulima, akapanda mizabibu;
²¹ akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.
²² Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake, akawaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje.
²³ Shemu na Yafethi wakatwaa vazi, wakalitanda mabegani mwao wote wawili, wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao; na nyuso zao zilielekea nyuma, wala hawakuuona uchi wa baba yao.
²⁴ Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea.
²⁵ Akasema,Na alaaniwe Kaanani;Atakuwa mtumwa kabisa kwa ndugu zake.
²⁶ Akasema,Na atukuzwe Bwana,Mungu wa Shemu;Na kaanani awe mtumwa wake.
²⁷ Mungu akamnafisishe Yafethi,Na akae katika hema za Shemu; Na Kaanani awe mtumwa wake.

hapa ndiko kwenye asili ya hayo yote. asomaye na afahamu!
 
Korea hii hii ambayo watu wake wamekosa chakula na kuamua kula mbwa kama chakula Cha kujinusuru.
Acha porojo kama ulimuona mwamba kwenye mafuriko , yuko kweny tmu ya uokoaji halafu unaleta porojo watu wanakosa chakula.
 
Yeye mwenyewe kaingia madarakani kwa njia isiyo sahihi..so sijui anataka kutufundisha nini hapa.
 
Rais wa Bukina faso , Ibrahim Traore anadai kizazi chake kuna maswali matatu muhimu ya kujiuliza :-

1.Inawezekanaje Bara lenye utajiri mwingi ardhini kuwa ndio bara maskini kuliko yote Duniani ?

2.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye Njaa ?

3.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye viongozi omba omba kuliko yote ?

Ni nini hasa tatizo ?

View: https://youtu.be/I57bGuxMaPY?si=zYOW0-Ff8hDTUmoq

Jibu ni moja tu Poor governance : kutoka kwenye hilo tatizo tuna misuse of resources, rushwa , upendeleo, even kupata viongiz wa ajab ajab
 
Rais wa Bukina faso , Ibrahim Traore anadai kizazi chake kuna maswali matatu muhimu ya kujiuliza :-

1.Inawezekanaje Bara lenye utajiri mwingi ardhini kuwa ndio bara maskini kuliko yote Duniani ?

2.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye Njaa ?

3.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye viongozi omba omba kuliko yote ?

Ni nini hasa tatizo ?

View: https://youtu.be/I57bGuxMaPY?si=zYOW0-Ff8hDTUmoq

Kuna majibu matatu:1.
1. Africa haiwezi kugeuza mchanga/ udongo kuwa machine.

2.Africa haina uongozi. Bora.

3. Viongozi wakuu wa Africa ni mafisadi na wizi ndio primary factor mipango/ jambo lifanyike vipi sio wapi kuna tija zaidi
 
Back
Top Bottom