Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Swali la 4. kwanini Afrika kuna viongozi wanao ahirisha kufikiri kwa nafsi kwa lugha rahisi kuahirisha kufikiri kizalendo, a.k.a kujizima dataRais wa Bukina faso , Ibrahim Traore anadai kizazi chake kuna maswali matatu muhimu ya kujiuliza :-
1.Inawezekanaje Bara lenye utajiri mwingi ardhini kuwa ndio bara maskini kuliko yote Duniani ?
2.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye Njaa ?
3.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye viongozi omba omba kuliko yote ?
Ni nini hasa tatizo ?
View: https://youtu.be/I57bGuxMaPY?si=zYOW0-Ff8hDTUmoq
πππ Labda hili ni jibu la maswali mengineSwali la 4. kwanini Afrika kuna viongozi wanao ahirisha kufikiri kwa nafsi kwa lugha rahisi kuahirisha kufikiri kizalendo, a.k.a kujizima data
Hakika
Korea hii hii ambayo watu wake wamekosa chakula na kuamua kula mbwa kama chakula Cha kujinusuru.Africa ingeongozwa kama korea kaskazini ndio ingefika mbali ...Watu wakae ndani wasibabaike na watu wa nje ndio wangejituma kweli kweli
Nyie Uvccm hua ni wajinga mno,hvi unajua utofauti wa utamaduni wa kabila na kabila,nchi na nchi?!Korea hii hii ambayo watu wake wamekosa chakula na kuamua kula mbwa kama chakula Cha kujinusuru.
Kuna tatizo la siasa safi na uongozi bora.full stop.ujanja ujanja mwiiiiingi.Rais wa Bukina faso , Ibrahim Traore anadai kizazi chake kuna maswali matatu muhimu ya kujiuliza :-
1.Inawezekanaje Bara lenye utajiri mwingi ardhini kuwa ndio bara maskini kuliko yote Duniani ?
2.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye Njaa ?
3.Inawezekanaje Africa kuwa bara lenye viongozi omba omba kuliko yote ?
Ni nini hasa tatizo ?
View: https://youtu.be/I57bGuxMaPY?si=zYOW0-Ff8hDTUmoq
Uko sahihiKuna tatizo la siasa safi na uongozi bora.full stop.ujanja ujanja mwiiiiingi.