Gwajima anawaza tyu kwa sauti.Mkuu Sina jibu la swali lako Ila Kuna swali Gwajima alikuwa akiwauliza waumini wake kwamba zile takwimu za watu wanaochanjwa zinarekodiwa kwenye database ya kampuni Moja kubwa ya electronics inayomilikiwa na mmoja wa matajiri wakubwa ulimwnguni. Je, ni kwanini takwimu zisihifadhiwe kwenye database ya shirika la afya duniani na je ni kwa faida ya nani?!
Mimi siyo mfuasi wa Gwajima lakini nilibahatika tu kusikiliza hicho kipande na hakutoa jibu la Hilo swali. Kwako Mkuu...
Gwajima wa ajabu sana mimi nimesain form na data kuingizwa kwenye counter book kubwa.Gwajima anawaza tyu kwa sauti.
Wizara inarecord data zote za walio chanjwa, Walio ugua, Walio kufa. Then inawajibika kushare na WHO. WHO inawajibika kushare na member countries wengine. Na hii ni kwamagonjwa mengi tu sio Covid-19 peke ake.