Nani anayekagua na kudhibiti ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG)?


Serikali Kuu hukaguliwa na CAG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof atawaua asee mtaimba kila wimbo lakini dawa lazima iwaingie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hilo hufanyika ili CAG kuwa kama client na Other Auditing firm kufanya ukaguzi ofisi ya CAG yaani NAOT.

Kazi ya kumtafuta mkaguzi atakayemkagua CAG hufanyika katika utaratibu wa zabuni ambayo hufanywa mapema katika mwaka husika na hivyo mzabuni kujupata mikataba yote pamoja na TOR na hvy mwaka tu husika unapoisha mkaguzi ambaye ni mzabuni aliyeshinda tender ya kumkagua CAG Hutoa Engagemeny letter kama taratibu zilivyo akimweleza CAG kuwa atakaguliwa nao na hao jamaa siku fulani hadi fulani.

Siku ikifika mkaguzi atafanya ukaguzi kwa muda wake na baadae atatoa taarifa itakayokwenda kwa waziri mwenye dhamana.

So kwa sasa hadi unapozungumza hili ni kwamba hiyo kazi imekwishafanyika na report ipo mezani uzuri haina madudu kama hayo mliyokutwa nayo ninyi.

Ofisi ya CAG wapo smart sana kwenye kufuata taratibu mzee, hata kama kuna mapungufu lk huwezi kukutana na uchafu unaofananishwa hata kidogo na huo wenu.

Nxt time usikurupuke mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnataka kuchunguza kama CAG ni "DHAIFU" kama nyie!
 
Kwani kuna mashindano ya ukaguzi?!
 
We unadhani hawakaguliwi..?? Basi wanakaguliwa kila mwaka...
Sema hawana hati chafu au madudu ya kuweza kutetemesha nchi kama yenu huko..
 
"MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI" Hii hoja imenibidi nirejee jina la CAG kwa Kiswahili. Kinadharia katika definition ya SERIKALI huwa tunawaondoa BUNGE na MAHAKAMA. Pamoja na majibu mazuri ya wajumbe kwa swali la mtengeneza uzi, naomba pia kufahamishwa nani anakagua hesabu za BUNGE na utaratibu wa kuujulisha umma taarifa ya ukaguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba Hyo Taarifa Tuone Kama Haina Madudu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
CAG i wangu ni wa watz, una maana kin Mkulo etc amewatenda?? jenga hoja mkuu usiharibu utamu, afu soma hapa chini
Kabla hujajiuliza hili swali lazma ujue majukumu ya ofisi ya ukaguzi ( NAO)

Hawa hawana pesa za miradi wao kazi Yao ni kukagua,.. sehemu zinazopigwa pesa Mara nyingi huwa kwenye taasisi zinakopelekwa pesa za miradi,Ofisi ya mkaguzi mkuu pale wanapelekewa OC na mafungu yanayowawezesha kufika sehemu zote za nchi katika taasisi za umma na miradi ili kuikagua

Pamoja na hiyo utendaji wake unamulikwa na mahakama ili asimuonee mtu, na ndo maana hata bungeni Kuna kamati ya PAC na LAAC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unadhani hawakaguliwi..?? Basi wanakaguliwa kila mwaka...
Sema hawana hati chafu au madudu ya kuweza kutetemesha nchi kama yenu huko..
Ok Kama wamekaguliwa, Kama Ripoti Ya Ukaguzi Wa Ofisi Wa CAG ipo Na Ilishapelekwa Bungeni Basi Itolewa na Wananchi Wajue, Hili Sio Hitaji Langu Bali Ni Kwa Mujibu Wa Kifungu cha 46(1)(6) cha Sheria Ya Ukaguzi Wa Umma No. 11 ya Mwaka 2008

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi ya kukagua CAG tuwape CCM ili wamsimamie kama wanavyosimamia Tume ya Uchaguzi na Polisi. Najua mnatamani sana kum-control CAG. ******* ameonyesha mfano...

 
Na bashite mr zero wa karomije ha ha baba wa chato na mwana muna mchecheto majambazi nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…