Ruge Opinion
JF-Expert Member
- Mar 22, 2006
- 1,838
- 705
Nani anakagua vitabu vya hesabu vya ofisi ya mdhibithi na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (c.a.g)?
Jibu la Mchumia Tumbo ndilo sahihi. Ofisi ya CAG inakaguliwa na kampuni ya ukaguzi wa mahesabu iliyoteuliwa rasmi kwa kazi hiyo. Na CAG anakagua taasisi zote za kiserilkili (wizara, idara, halmashauri, mashirika ya umma, n.k.) yanayopokea fedha kutoka kwenye hazina ya serikali na ambayo kisheria yana sifa ya kuwa taasisi za umma. Katiba ya TZ na sheria kama zilivyoainishwa na Mchumia Tumbo zinatoa ufafanuzi wote kuhusu hadhi na kazi za Ofisi ya CAG.
Anakaguliwa na kampuni binafsi zinazoteulewa na PAC na repoti yake ya ukaguzi wanapelekewa hiyo kamati.
Unazungumzia kukaguliwa kupi kati ya hizi 2:-
1. Mapato na matumizi ya Ofisi
2. Ubora wa kazi anazozifanya
Yote ayo kWa pamoja
jibu ni ndiyo
Sawa mkuu
Pia ujue uteuzi wake hautenguliwi. Hadi afe,astaafu au aache mwenyewe.
Kwa nini hautenguliwi?Pia ujue uteuzi wake hautenguliwi. Hadi afe,astaafu au aache mwenyewe.
Na akistaafu au kuacha hashiki nafasi yoyote ile ya uongozi.Pia ujue uteuzi wake hautenguliwi. Hadi afe,astaafu au aache mwenyewe.