Nani anayekagua na kudhibiti ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG)?

Jibu la Mchumia Tumbo ndilo sahihi. Ofisi ya CAG inakaguliwa na kampuni ya ukaguzi wa mahesabu iliyoteuliwa rasmi kwa kazi hiyo. Na CAG anakagua taasisi zote za kiserilkili (wizara, idara, halmashauri, mashirika ya umma, n.k.) yanayopokea fedha kutoka kwenye hazina ya serikali na ambayo kisheria yana sifa ya kuwa taasisi za umma. Katiba ya TZ na sheria kama zilivyoainishwa na Mchumia Tumbo zinatoa ufafanuzi wote kuhusu hadhi na kazi za Ofisi ya CAG.
 
hapa issue sio Hadhi na kazi.

Issue ni Checks and balance Mkuu
 
acheni uvivu swali kama hili limeshaulizwa sana na kujibiwa humu JF! TAFUTENI POST ZA ZAMANI
 
Wanajamvi naombeni msaada wenu eti CAG anakaguliwa na nani?
 
Kamati flani hivi ya bunge cjui ndo PAC,(sina uhakika) ,otherwise check website ya National Audit..
 
Wakuu hivi CAG naye hukaguliwa? Na kama anakaguliwa nani anamkagua?
 
Unazungumzia kukaguliwa kupi kati ya hizi 2:-
1. Mapato na matumizi ya Ofisi
2. Ubora wa kazi anazozifanya
 
Back
Top Bottom