Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbumbuka COASCO mkoa wa Mbeya alitoa ripoti ya ukaguzi na chama Cha wakulima wakapata hati isiyoridhisha. Sasa na wao walikaguliwa na CAG wakapata hati chafu. Kwahiyo huyu CAG nae akikaguliwa huenda tukaona madudu maana nasikia huwa wanazidi bajeti na kupokea rushwa Kwa baadhi ya taasisi Ili wasipewe hati chafu na wengine wanakataa na kupewa hati zenye mashaka.Sio kwa Nia mbaya ila Nina wasiwasi na cag ..sisemi hafanyi kazi vizuri ila najua kwamba na yeye ni binadamu na kama binadamu lazima ana ubinadamu wake!! Ofisi ya cag ndio inaweza kujaa rushwa kubwa kubwa na uonevu na yeye achunguzwe
Huu ujinga wa kuwa CAG achunguzwe pia aliwahi kuuleta Ndugai ili kuhalalisha kumkomoa CAG Assad. Hope hii I'd ni ya Ndugai au mkewe.Sio kwa Nia mbaya ila Nina wasiwasi na cag ..sisemi hafanyi kazi vizuri ila najua kwamba na yeye ni binadamu na kama binadamu lazima ana ubinadamu wake!! Ofisi ya cag ndio inaweza kujaa rushwa kubwa kubwa na uonevu na yeye achunguzwe
Hyo Ofsi natumika kisiasa , kuchomeana na kuchafuana, Maghufuli watu kama hawa alikuwa anawafukuza tuu..hyo ofsi nayo madudu kibao , vijana wa hyo ofsi wanakula rushwa kutengeneza hati safi kwa mtu flani na kumchoma mtu fulan
Kila ofisi inachunguzwa kuanzia ofisi ya rais, ya CAG, nkSio kwa Nia mbaya ila Nina wasiwasi na cag ..sisemi hafanyi kazi vizuri ila najua kwamba na yeye ni binadamu na kama binadamu lazima ana ubinadamu wake!! Ofisi ya cag ndio inaweza kujaa rushwa kubwa kubwa na uonevu na yeye achunguzwe
Yaani wewe,huwa unajiona wewe ndio mtanzania zaidi,mwenye haki ya kusema,ila wengine wakisema ni wajinga.wewe unajiona ndio mzalendo kuliko woote walio hai kwenye nchi hii,na kidole chako kile kidogo kina akili nyingi kuliko vichwa vywa watanzania million 60.Huu ujinga wa kuwa CAG achunguzwe pia aliwahi kuuleta Ndugai ili kuhalalisha kumkomoa CAG Assad. Hope hii I'd ni ya Ndugai au mkewe.
Yaani wewe,huwa unajiona wewe ndio mtanzania zaidi,mwenye haki ya kusema,ila wengine wakisema ni wajinga.wewe unajiona ndio mzalendo kuliko woote walio hai kwenye nchi hii,na kidole chako kile kidogo kina akili nyingi kuliko vichwa vywa watanzania million 60.
Wewe ni mbinafsi na mbaguzi sana.kutwa kucha maandiko yako ni utengana,ni kimtukana jpm na sikuma gang tu,huo ni upumbavu.
Public Audit Act, kifungu namba 46, kinaelekeza namna CAG anavyokaguliwa hasa kwenye matumizi ya bajeti yake.Sio kwa Nia mbaya ila Nina wasiwasi na cag ..sisemi hafanyi kazi vizuri ila najua kwamba na yeye ni binadamu na kama binadamu lazima ana ubinadamu wake!! Ofisi ya cag ndio inaweza kujaa rushwa kubwa kubwa na uonevu na yeye achunguzwe
😀😀😀Alichunguzwa na Ndugai
Wewe ni bata katika kufikiriHuu ujinga wa kuwa CAG achunguzwe pia aliwahi kuuleta Ndugai ili kuhalalisha kumkomoa CAG Assad. Hope hii I'd ni ya Ndugai au mkewe.
CAG kwa sheria anachunguzwa na bungeSio kwa Nia mbaya ila Nina wasiwasi na cag ..sisemi hafanyi kazi vizuri ila najua kwamba na yeye ni binadamu na kama binadamu lazima ana ubinadamu wake!! Ofisi ya cag ndio inaweza kujaa rushwa kubwa kubwa na uonevu na yeye achunguzwe