Nani anayekagua na kudhibiti ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG)?

Nani anayekagua na kudhibiti ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG)?

CAG yeye haoojiwi na mtu yeyote na hapingwi kwenye maamuzi yake kuhusu ukaguzi lazima akaguliwe ila kwenye mahojiano ndio hairuhusiwi hata kama kakosea..
 
mkuu umenena jamaa namfahamu fisadi tu tangu kitambo hana lolote

kweli kaka...anacheza michezo ya siasa tu...na shv wapo studio kutengeneza move nyingine ya kubeba watu sakata la rushwa la wabunge ameliingilia ili aje wamsafishe mtaka urais na kkumtafutia umaarufu...ndio kazi yake nyingine shv
 
Ndugu wanajamvi naomba kuuliza mwenye ufahamu na ili anijuze,hivi Controller and Auditor General anakaguliwa na nani?,report yake inasomwa wapi? nani anijadili? maake muda mwingi hata jana ktk kikao cha bunge tumesikia CAG aongezewe pesa kwa ajili ya ukaguzi wa vyama vya siasa,Pia Hawa Ghasia alisikika kuwa CAG walitoa hesabu potofu kuhusu 2Bil.za Tanga kuwa zilichakachuliwa ili hali sivyo,Je,consistency ya CAG wkt mwingine ipo wapi? nani anahakikisha hilo? naomba majibu..
 
Sina uhakika vizuri, ila ninavojua ni any external auditor ie Pwc, kpmg etc,
 
naomba uisome vizuri act iliyoanzisha ofisi ya ukaguzi taifa wameelezea jinsi ya kupata mkaguzi wa nje ya hiyo taasisi husika,mambo mengine sio ya kuja kuuliza hapa jf acha uzembe.google
ndio maana sikuhizi ukileta thread isiyokuwa na mashiko unaambiwa leta picha tuone.
 
Na informer wa Zitoo! Sasa madudu ya CAG yatakuwa salama salmni! Japo wachache wanashangilia hadharan ila wengi sanaa tumfurahia anguko la mzito zz! Daaaah! Alizidi sanaa naye! Slaa et al wanavomsulubisha bila hurma sisi huku tuna dance AZONTO AZONTO! Kabati lmepinduliwa na mende kwa hakika!
 
Mkuu Obama malumbano ya nni sa ka unajua why usilete hapa,au nawe ndo wale wale wanaojua jina la kitabu lkn content yake hawajui?
 
Sect.46 sub 1 of Public Audit Act No.20 of 2008 states that the accounts of CAG shal be audited,at least once in every year,by a person appointed by the PAC from amongst person who are registered as auditors under the Auditors and Accountant Act
 
Sect.46 seb 1 of Public Audit Act No.20 of 2008 states that the accounts of CAG shal be audited,at least once in every year,by a person appointed by the PAC from amongst person who are registered as auditors under the Auditors and Accountant Act

mods pandisha hii pale juu.
 
Wanabodi napenda kujua CAG huwa kama anafanyiwaga ukaguzi?

Maana naamini wao pia wana matumizi, ukizingatia nao wanapokea budget toka serikalini.
 
KK Security ndo wanaokagua nadhan.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Nani anakagua vitabu vya hesabu vya ofisi ya mdhibithi na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (c.a.g)?
 
C.A.G kwani huwa anapokea ruzuku kutoka serikalini kwa ajili ya maendeleo? (c.a.g) kazi yake ni kukagua pesa ya ruzuku toka serikalini. Mwenye kujua zaidi atusaidie
 
Kuna internal auditors wanao kagua hesabu ambapo hupitiwa na kukaguliwa tena na maresident auditor baada ya hapo ukabithiwa CAG mwenyewe.
 
Kuna internal auditors wanao kagua hesabu ambapo hupitiwa na kukaguliwa tena na maresident auditor baada ya hapo ukabithiwa CAG mwenyewe.

Na kama hiyo audit report itakuwa qualified (kama vile kuna hitilafu za makusudi za kimahesabu) kuna kuwajibishana kokote hapo?
 
C.A.G kwani huwa anapokea ruzuku kutoka serikalini kwa ajili ya maendeleo? (c.a.g) kazi yake ni kukagua pesa ya ruzuku toka serikalini. Mwenye kujua zaidi atusaidie

Sio kwamba C.A.G anakagua ofisi yoyote ile ya serikali hata kama haipokei ruzuku ya maendeleo kutoka serikalini?
 
Soma katiba ya Tz ya mwaka 1977 ibara ya 141,public finance act 2001,public audit act 2008,local gvt finance act 1981.visit www.nao.go.tz
 
Back
Top Bottom