Blandina Nyoni hakuwa Mha sibu Mkuu wa Serikali?
sijakusoma mkuu hapo kwenye red ni mhasibu/mkaguzi...nimeuliza tu usijenge bifu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Blandina Nyoni hakuwa Mha sibu Mkuu wa Serikali?
mkuu umenena jamaa namfahamu fisadi tu tangu kitambo hana lolote
Sect.46 seb 1 of Public Audit Act No.20 of 2008 states that the accounts of CAG shal be audited,at least once in every year,by a person appointed by the PAC from amongst person who are registered as auditors under the Auditors and Accountant Act
Sina uhakika vizuri, ila ninavojua ni any external auditor ie Pwc, kpmg etc,
Kuna internal auditors wanao kagua hesabu ambapo hupitiwa na kukaguliwa tena na maresident auditor baada ya hapo ukabithiwa CAG mwenyewe.
C.A.G kwani huwa anapokea ruzuku kutoka serikalini kwa ajili ya maendeleo? (c.a.g) kazi yake ni kukagua pesa ya ruzuku toka serikalini. Mwenye kujua zaidi atusaidie