Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Sasa kusema sahizi haina maana the past is historyUna kila kiashiria cha uoga.Kuna kipindi kumnyamazia mjinga ni silaha tosha.Hivi kipindi cha Magufuli nani angeweza kumkosoa hadharani?Ni wachache na kwa taaaaaabuuuu walithubutu.Nani angetaka risasi "salasini na nane" zimpate mwilini?Think twice.๐๐๐๐