Sasa kusema sahizi haina maana the past is historyUna kila kiashiria cha uoga.Kuna kipindi kumnyamazia mjinga ni silaha tosha.Hivi kipindi cha Magufuli nani angeweza kumkosoa hadharani?Ni wachache na kwa taaaaaabuuuu walithubutu.Nani angetaka risasi "salasini na nane" zimpate mwilini?Think twice.ππππ
Hivi mtu akifa faili lake kule mirembe anakabidhiwa nani?Kama hafamu huyu Mzee Dialo aulize Kilichomkuta aliyewahi Kusema "CCM imepoteza uelekeo"
Timing is everything!Amekiri kwamba hakupenda kutengana na familia yake.Heshimu hilo maalim!πππππSasa kusema sahizi haina maana the past is history
Mpuuzi huyu Diallo, watu wengi amba wana mlalamikia Magu ukichunguza kwa makini they have issues! Ila wanahisi kupigwa spana wao wameonewa sana kuliko uharibifu ambao wao walifanya?Angeanza na kulipa wafanyakazi wake. Katapeli benki nyingi pale Mwanza halafu anataka kuelekeza lawama kwa marehemu.
Busara ni ipi; kukaa pembeni mwendawazimu mwenye panga kali apite zake ubaki salama au kushindana naye ugeuzwe "bucha"? Think twice.Huyo ni muathilika,
Kama ni jasiri angesema kipindi jiwe yupo hai.
Hana jipya!!!!!!!!!!!
Kumbe alijua kuwa kichapo kingemuhusuTiming is everything!Amekiri kwamba hakupenda kutengana na familia yake.Heshimu hilo maalim!πππππ
Watanzania wengi wapo afraid to take the beating and consequences za kuongea mbele ya jiwe π π π ππππ ila sasa wanajitia ushujaa this is a gayish behaviour ni aheri wafe nayo moyoniBusara ni ipi; kukaa pembeni mwendawazimu mwenye panga kali apite zake ubaki salama au kushindana naye ugeuzwe "bucha"? Think twice.
Ungekuwa weye ungefanyaje? Kusema unataka na familia inakuhitaji!Mgagasiko!Umeona Lissu yu wapi and the likes?πππππKumbe alijua kuwa kichapo kingemuhusu
Ni mshenzi tu huyu jamaa yake hayasemwi tu ila Magufuli hakumdhuru mtu innocent wengi waliopigwa spana ni wana makando kando tuDialo ana makando kando mengi sana huko Mwanza. Ni Nani asiemjua? Ni mhuni na pia ni anatuhuma nyingi tu za uovu pia. Sishangai
Habari yake iko tamati huyo, very gayish kumsema marehem bora hata angekuwa hai! Ye kutapeli watu kisha kukimbilia ubavu wa CCM aliona sawa ila ilipofika zamu yake akapigwa na CCM hao hao eti analia lia na kumdhikhaki mwenyekitiπ ππ wakat cheo chake pia alikitumia kipumbavu tu!Ukiona mtu yeyote anaemsema vibaya mwenzie akiwa hayupo ni bure kabisa.
Sijuhi nani kamdanganya aropoke kisa kutetea ugali?
Nauona mwisho wa huyu mlopokaji. Macho yetu.........
Kukaa kimya ni dawa tosha hatuwezi jua yajayo baada ya 2025.
"Huyo ni muathilika,
Kama ni jasiri angesema kipindi jiwe yupo"
Mkuu,is that you for real?Hivi kweli Magufuli was that much clean?π€π€π€π€π€Ni mshenzi tu huyu jamaa yake hayasemwi tu ila Magufuli hakumdhuru mtu innocent wengi waliopigwa spana ni wana makando kando tu
"Safe mode ili kesho uendelee kuishi na watoto wako" Patamu hapo!Huyo ni muathilika,
Kama ni jasiri angesema kipindi jiwe yupo hai.
Hana jipya!!!!!!!!!!!
He might not be clean ila atleast you would need to have an issue with him that he finds irritating ndio astrike back. Sio kwamba alimfata fata huyo Diallo ila mwenyewe Diallo alikuwa na issues akachezea spana!Mkuu,is that you for real?Hivi kweli Magufuli was that much clean?π€π€π€π€π€
Biblia inasema usibishane na mpumbavu.ππππ"Safe mode ili kesho uendelee kuishi na watoto wako" Patamu hapo!
Tumpe muda gani kubaki chamani? ππ nawaona ccm wanavyo mzoom after 2025Habari yake iko tamati huyo, very gayish kumsema marehem bora hata angekuwa hai! Ye kutapeli watu kisha kukimbilia ubavu wa CCM aliona sawa ila ilipofika zamu yake akapigwa na CCM hao hao eti analia lia na kumdhikhaki mwenyekitiπ ππ wakat cheo chake pia alikitumia kipumbavu tu!
Hana muda mrefu huyo atakula spana tuTumpe muda gani kubaki chamani? ππ nawaona ccm wanavyo mzoom after 2025
Alikuwa na muono huo lakini baadaye akalewa pombe ya madaraka na kuanza uonevu kwa sababu ya kushangiliwa bila kukosolewaHe might not be clean ila atleast you would need to have an issue with him that he finds irritating ndio astrike back. Sio kwamba alimfata fata huyo Diallo ila mwenyewe Diallo alikuwa na issues akachezea spana!
How do you deal with a traitor?