Nani anayetajwa na Mwenyekiti wa CCM Mwanza, Dkt. Diallo kwamba ana faili Hospitali ya Akili Milembe?

Nani anayetajwa na Mwenyekiti wa CCM Mwanza, Dkt. Diallo kwamba ana faili Hospitali ya Akili Milembe?

Wala hata Sio Chuma...Hivi kweli yaani anataka Ziara ya Rais Kaenda Uwanja wa Ndege,Au Kukagua Reli au Kazi fulani na CCM waende?
Acheni hizo bana!

Rais ni Wa wananchi na Ni serikali...Ukitaka Kila kitu anachofanya Rais wewe useme yeah ni Mwenyekiti wa chama hivyo Wenyeviti wa mikoa twende!

Shughuli za Chama ni chamani huko! Kumbe walikuwa wanaumia sanaaa wasipoitwa kwenye Ziara za Rais na wenyewe waende na Mavazi yao![emoji115][emoji2][emoji2]
 
Siungi mkono alichofanyiwa ila si mtu safi kihivyo nadhani pia awe amejifunza kuwa mwema kwani aliwafanyia watu wengi mabaya na waliumia kama yeye na walikuwa na watoto kama yeye ila hawakuwa na kituo cha Tv kuongelea alivyowaumiza na hata kupelekea wengine kufa kwa sonona

Naunga mkono alichosema.

Wanampiga Diallo sina tatizo nao. Vema nao wakatafuta platform, wamseme Diallo.

Mtazamo wangu, tukianza utaratibu huu wa kusemana hadharani itatusaidia Sana kutibu vijiba vya roho. pia itarejesha Amani na Imani ya kweli Kati yetu. Muhimu tuwe tayari kuhimili kusemwa na kuzodolewa.
 
Namba 7 ndiyo kiboko ya yote. Kumbe tulikuwa tunaongozwa na mgonjwa wa akili. Sabufa naye nadhani ni Mirembe case halafu eti anasimamia ngebu la kutunga sharia
 
Naona Dialo kaamua kuja kivingine.

Hawa ndo wanaomchagua mwenyekiti wa ccm na Mara nyingi walimpitisha kwà Asilimia Mia.

Kumuamini Dialo unahitaji kuwa na kiwango kikubwa Sana cha unafiki.
 
Wala hata Sio Chuma...Hivi kweli yaani anataka Ziara ya Rais Kaenda Uwanja wa Ndege,Au Kukagua Reli au Kazi fulani na CCM waende?
Acheni hizo bana!..
Kwahiyo wewe umeona hilo tu?hayo mengine unayazungumziaje?
Tukianza na namba 7
 
Janja janja na wizi wizi ni mtindo wa maisha ndani ya uongozi wa CCM. Ndicho kivutio kikuu kwa anayefanikiwa kuipata nafasi ya uRais wa JMT na uenyekiti wa CCM pamoja na genge lake (timu ya ushindi)...

Haihitaji maneno meengi sana, Taifa hili lilimhitaji sana JPM na uthubutu wake+undava wake na kila aina ya umafia wake..

Kuna mamia na maelfu ya watanzania walihitaji kufa na wengine kuwa magerezani kwa ukatili walioufanyia umma wa watanzani kwa manufaa ya familia na michepuko yao...

JPM tena alikuwa na huruma saaana, kuna watu walipaswa kunyongwa hadharani na wengine wawe jela na viboko kila siku..Taifa hili haliwezi kuendelea kwa kuendelea kubembelezana na kulea wapumbavu na kukuza kizazi chakudeka deka baadala ya kizazi aggressive kinachoamini kuchapa kazi kwa bidii na matumizi ya akili kubwa kuishi..
 
Mpendwa wanu kama angefanikiwa "kutolazimishwa" na kina Job kutotawala milele angehakikisha ameweka mtu wake ofisi namba moja ili awashughulikie watu aina ya Diallo kwa remote hata akiwa nje ya ofisi hiyo.
Huwa najiuliza, Hayati Mpendwa wetu angeweza kukaa kimya akishuhudia Watu wakimsagia kunguni baada ya kustaafu?.
 
Sio lazima umuamini, kumuelewa tu inatosha.
Naona Dialo kaamua kuja kivingine.

Hawa ndo wanaomchagua mwenyekiti wa ccm na Mara nyingi walimpitisha kwà Asilimia Mia.

Kumuamini Dialo unahitaji kuwa na kiwango kikubwa Sana cha unafiki.
 
Salam wakuu;
Katika hali ya kushangaza, jana niliona mahojiano kati ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza na mtangazaji Alyce Nyanda.

Nilichoshangaa ni kuwa aliponda sana uongozi wa awamu ya 5, naamini kwakuwa mwenyekiti wa CCM taifa amemsikia, naimani atamchukulia hatua za kinidhamu.

Maana kuna tetesi zinazagaa mitaani kuwa mzee Dialo ametumwa tu na wewe ili kujaribu kuchafua image ya JPM kanda ya ziwa.

Mimi kwasasa siamini tetesi hizi, ila ukikaa kimya nitaamini zaidi hilo jibu la ukimya.

#JPM_hachafuliki.
 
Bado najiuliza huyo mwanasiasa aliyetajwa na Dr Anthony Diallo kwamba alikuwa na jarada hospitali ya Mirembe ni nani?

Na kwanini mifumo ilimruhusu kugombea?

Je, ni TAL wa Chadema?

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Ni meko aka marehemu
 
Bado najiuliza huyo mwanasiasa aliyetajwa na Dr Anthony Diallo kwamba alikuwa na jarada hospitali ya Mirembe ni nani?

Na kwanini mifumo ilimruhusu kugombea?

Je, ni TAL wa Chadema?

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Bwashee wewe mchokozi!
 
Ni bora rais mwenye file mirembe anayeonesha njia kuliko wewe mwenye file muhimbili usiye na mbele wala nyuma
Kuna jina limetajwa hapo!!
Unanifahamu wewe sukule mpaka useme sina mbele hata nyuma!!??
Pole kwa kuwa "mnyonge" wa mwendakuzimu.
 
Back
Top Bottom