Siungi mkono alichofanyiwa ila si mtu safi kihivyo nadhani pia awe amejifunza kuwa mwema kwani aliwafanyia watu wengi mabaya na waliumia kama yeye na walikuwa na watoto kama yeye ila hawakuwa na kituo cha Tv kuongelea alivyowaumiza na hata kupelekea wengine kufa kwa sonona
Dah Jiwe hatarii kama msukuma mwenzake alimtesa hivije mtu baki? Ilibidi tu achukuliww faster kulinusuru taifa
Kwahiyo wewe umeona hilo tu?hayo mengine unayazungumziaje?Wala hata Sio Chuma...Hivi kweli yaani anataka Ziara ya Rais Kaenda Uwanja wa Ndege,Au Kukagua Reli au Kazi fulani na CCM waende?
Acheni hizo bana!..
Hahhaaaa... Mtu pori hakuwa na ubinadamu.
Janja janja na wizi wizi ni mtindo wa maisha ndani ya uongozi wa CCM. Ndicho kivutio kikuu kwa anayefanikiwa kuipata nafasi ya uRais wa JMT na uenyekiti wa CCM pamoja na genge lake (timu ya ushindi)...
Yatafumuka mengi zaidi, naona Diallo ameanzisha mwendo
Huwa najiuliza, Hayati Mpendwa wetu angeweza kukaa kimya akishuhudia Watu wakimsagia kunguni baada ya kustaafu?.
Naona Dialo kaamua kuja kivingine.
Hawa ndo wanaomchagua mwenyekiti wa ccm na Mara nyingi walimpitisha kwà Asilimia Mia.
Kumuamini Dialo unahitaji kuwa na kiwango kikubwa Sana cha unafiki.
Ni meko aka marehemuBado najiuliza huyo mwanasiasa aliyetajwa na Dr Anthony Diallo kwamba alikuwa na jarada hospitali ya Mirembe ni nani?
Na kwanini mifumo ilimruhusu kugombea?
Je, ni TAL wa Chadema?
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Bwashee wewe mchokozi!Bado najiuliza huyo mwanasiasa aliyetajwa na Dr Anthony Diallo kwamba alikuwa na jarada hospitali ya Mirembe ni nani?
Na kwanini mifumo ilimruhusu kugombea?
Je, ni TAL wa Chadema?
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Salam wakuu;
Katika hali ya kushangaza, jana niliona mahojiano kati ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza na mtangazaji Alyce Nyanda...
Kuna jina limetajwa hapo!!Ni bora rais mwenye file mirembe anayeonesha njia kuliko wewe mwenye file muhimbili usiye na mbele wala nyuma
ShujaaBado najiuliza huyo mwanasiasa aliyetajwa na Dr Anthony Diallo kwamba alikuwa na jarada hospitali ya Mirembe ni nani?
Na kwanini mifumo ilimruhusu kugombea?
Je, ni TAL wa Chadema?
Nawasalimu kwa jina la JMT!