Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Maneno mazito sana. Kaamua kutema nyongo mazima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafiki wa wana CCM, mkumbuke aliyetoa haya matamshi ni Mwenyekiti wa CCM wa MKOABado najiuliza huyo mwanasiasa aliyetajwa na Dr Anthony Diallo kwamba alikuwa na jarada hospitali ya Mirembe ni nani?
Na kwanini mifumo ilimruhusu kugombea?
Je, ni TAL wa Chadema?
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Umesema kweli tupu Mkuu.Halafu vichaa wenzie wakawa wanasema watamwongezea muda... Na hao vichaa wenzie bado eti wanaongoza nchi. Ndio maana nchi hii inahitaji katiba mpya.
Kuna watu walizoea sana maisha ya ujanja ujanja na wizi wizi...Yule jamaa aliwapiga pin sana lazima wamchukie tu....Watanzani mlitaka rais mkali na dictator mnaanza kulia kulia..
Hii nchi usipokuwa mgumu kama JPM mambo meeengi lazima yakugomee kuanzia kwenye uchumi, siasa, utamaduni na kila mahala..Lile Jamaa lilikuwa na maamuzi haijalishi mabaya au mazuri wakati wengine hiyo kuamua tu ni shida.
Dola lazima iogopwe na iheshiwe na watu wote, JPM aliipa dola heshima na michezo ya kipumbavu dhidi ya dola ikafa au kupungua....Watu kama Manji, Mo hawa waarabu na wahindi walikuwa wakiichezea hii nchi watakavyo na mpaka kuidharau dola wao na wajukuu zao..
JPM pamoja na mambo yake ambayo inaonekana wengine walikereka lakini alikuwa ni Rais aliyepaswa kuiongoza hii nchi kwa miaka zaidi ya 20....Kuteka, kuua ni moja pia ya kazi ya dola kwa wajinga wote wanaoweza kuhatarisha uhai na misingi ya nchi gizani huku mbele ya wananchi wanajiita wema...tutambue ni serikali pekee dunia inayoweza kujua mipango ya gizani ya kila raia wake..
RIP JPM.....tulitofautiana mitazamo kwenye mambo fulani lakini yapo mengi pia uliifanyia hii nchi na kufundisha watu hii nchi inataka kiongozi aina gani..
Maneno mazito sana. Kaamua kutema nyongo mazima.
Siku mwenye file milembe akimbaka mamaako ndo utajua kupi ni kupi kati ya mirembe ns muhimbiliNi bora rais mwenye file mirembe anayeonesha njia kuliko wewe mwenye file muhimbili usiye na mbele wala nyuma
Kuna mgombea urais huko botiswana,baada ya mmewe kuteuliwa agombee, alisemaga wazi kuwa,"mmemchagua huyo kichaa.."Bado najiuliza huyo mwanasiasa aliyetajwa na Dr Anthony Diallo kwamba alikuwa na jarada hospitali ya Mirembe ni nani?
Na kwanini mifumo ilimruhusu kugombea?
Je, ni TAL wa Chadema?
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Hao wasio na mafaili afadhali maana wanaweza kupewa benefit of doubt. Hata wewe au Mimi mtu aweza kuangalia mambo yetu akaona ni ya kiendawazimu lakini akatupa benefit of doubt. Sasa issue ni zile confirmed cases tena zinazotuthibitishia tena kwa kutamba majukwaani kuwa ni confirmed mental cases za mirembeJapo simjui ni nani aliyetajwa kuwa na faili Mirembe, lakini watu kama hao, tunao wengi tuu na hawana mafaili mirembe ila...
PKuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?
Wanabodi, Saa hizi natafuta usingizi unagoma, hivyo nimeshuka jf, tutafakari pamoja kuhusu huu utafiti uliowahi kufanywa na kubaini kuwa kwenye kila Watanzania 4, mmoja ni kichaa!. Jee katika hizo sampling, inawezekana pia kukawa na baadhi ya viongozi wetu wa vyama, taasisi, mashirika, na...www.jamiiforums.com
Ni huyo huyo....Je, ni TAL wa Chadema?...
Huyo mzee naye ni muoga sana anaongea sasa wakati mwendazake akiwepo alikuwa ameufyata!
Sio mtu wa kumtilia maanani.
Kuna watu walizoea sana maisha ya ujanja ujanja na wizi wizi...Yule jamaa aliwapiga pin sana lazima wamchukie tu....Watanzani mlitaka rais mkali na dictator mnaanza kulia kulia..
Hii nchi usipokuwa mgumu kama JPM mambo meeengi lazima yakugomee kuanzia kwenye uchumi, siasa, utamaduni na kila mahala..Lile Jamaa lilikuwa na maamuzi haijalishi mabaya au mazuri wakati wengine hiyo kuamua tu ni shida.
Dola lazima iogopwe na iheshiwe na watu wote, JPM aliipa dola heshima na michezo ya kipumbavu dhidi ya dola ikafa au kupungua....Watu kama Manji, Mo hawa waarabu na wahindi walikuwa wakiichezea hii nchi watakavyo na mpaka kuidharau dola wao na wajukuu zao..
JPM pamoja na mambo yake ambayo inaonekana wengine walikereka lakini alikuwa ni Rais aliyepaswa kuiongoza hii nchi kwa miaka zaidi ya 20....Kuteka, kuua ni moja pia ya kazi ya dola kwa wajinga wote wanaoweza kuhatarisha uhai na misingi ya nchi gizani huku mbele ya wananchi wanajiita wema...tutambue ni serikali pekee dunia inayoweza kujua mipango ya gizani ya kila raia wake..
RIP JPM.....tulitofautiana mitazamo kwenye mambo fulani lakini yapo mengi pia uliifanyia hii nchi na kufundisha watu hii nchi inataka kiongozi aina gani..
Alikwambia nani kuna mapumzikoMuacheni marehem apumzike
Binadamu unapoongea lazima uwe na kiasi. Lazima upime hicho unachoongea kitakusaidia nini katika hustle zako ama kitakughalimu nini katika mahusiano yako na watu wengine.
Dialo kateleza, matamshi yake yaweza kuwa na negative impacts kwake hasa mahusiano yake na chama chake. Sidhani kama atapata uenyeki wa chama pindi muhula wake ukiisha. Kaanzisha mgogoro usiokuwa na faida yoyote kwake.
Mark my words.
MotoniApumzike wapi?
Mara hii umesahau au ndio kujifanya tu.?!Bado najiuliza huyo mwanasiasa aliyetajwa na Dr Anthony Diallo kwamba alikuwa na jarada hospitali ya Mirembe ni nani?
Na kwanini mifumo ilimruhusu kugombea?
Je, ni TAL wa Chadema?
Nawasalimu kwa jina la JMT!