Nani anayetajwa na Mwenyekiti wa CCM Mwanza, Dkt. Diallo kwamba ana faili Hospitali ya Akili Milembe?

Hivi Watanzania mmekosa cha kufanya? Yani tokea jana watu wanamjadili Diallo kwa kauli ndogo kiasi hicho. Kwa kukosea kakosea kweli ila ndiyo iwe issue kubwa yakuwa mjadala wa kitaifa?
 
Mirembe ni hospitali km zilivyo nyingine na inatibu magonjwa mbalimbali,sema ndani yake kuna kitengo maalumu cha magonjwa ya akili,
 
Screenshot_20210711-072544.png
 
Dialo ni wa kupongezwa aidha kazungumza uongo au kweli. Awamu ya tano ilikuwa ngumu sana. Najaribu kutafakari:
1. Kulikuwa na maamuzi ya pamoja? as team ya uongozi? kwa nini mradi wa bagamoyo umerudi
2. Kwa nini mashehe wa uamsho wameachiwa
3. Kwa nini sabaya amechukuliwa hatua sasa si wkt ule, tuhuma hazikuwahi kusikika na kuchunguzwa?
4. Ni vema watu waseme ya moyoni kama hayaharishi usalama wa nchi ili wapone, kwa namna hiyo watu wanapumua
5. Lakini dialo ni msafi kiwango gani mpaka anyooshe kidole kwa wenzake
 
Ccm haipendi ukweli usweme hadharani
.wizi
.ufisadi
.uwongo
.fitina
.uzandiki
.uchonganishi
.uuaji
.
.
Vimetamalaki kila idara,ni rahisi kubaini kwa wahusika wanaokosa fursa mbalimbali za upigaji.
Tuendelee kupata mtori,nyama tutazikuta chini.
Asante Dialo kwa kutumegea kiasi.

Mama ameruhusu watu wakosoe na watoe solution,hii ni tabia njema na ngeni kwa ccm,tuizoee.
Tunaelekea kwenye katiba mpya,fursa zinaenda kupungua mbeleni,hiyo ndio hali halisi.
 
Katika hali ya halisi ukiambiwa umechafua hali ya hewa ina maana umejamba. Kisiasa itakua umeongea jambo la kuwaudhi watu wengi kwenye siasa.
Wenye kumbukumbu watakumbuka enzi ya awamu ya nne iliyokua na kashfa nyingi za ufisadi hadi rushwa kuonekana kama ndio njia sahihi kufanikisha kila jambo Anton Dialo alistaajabisha watu kwa tukio moja. Enzi za awamu ya nne ilisemekana alimshitaki waziri wa maliasili enzi hizo kwa jk kwa kutoweza kumpa kitalu cha uwindaji baada ya kumpa dola za kimarekani kiasi fulani. Kuonesha jinsi rushwa ilikua kitu cha kawaida kwa wakubwa kufuatana na dialo jk alimuamuru waziri huyo kumrudishia dialo hela zake. Hakuna ushahidi kama jk aliwachukulia hatua yoyote vigogo hao.
Huyo Dialo enzi hiyo ya awamu ya nne alijilimbikizia vyeti feki hadi vya Phd huku kuna shaka ya yeye kufika japo kidato cha nne. Kuna mwandishi mmoja aliandika kitabu kuwaorodhesha watu mashuhuri wenye vyeti feki ambapo Anton Dialo ni mmoja wapo.
Kutokana na hila na kujilimbikizia sifa za uongo Anton Dialo ambaye pia ni mfanya biashara mkubwa akaweza kufikia kua naibu waziri.
Kwa ukweli kauli zake za kinafiki dhidi ya magufuli zimewaudhi wengi. Huyu ni mmojawapo ya watu wamekua wanasitiriwa ndani ya ccm kwa sababu ni mmoja ya wale waliyoigeuza ccm kama kampuni yao binafsi enzi za awamu wa nne.
Unajua kama kuna hujui bro nyamaza tu,antony diallo hana cheti feki hata kimoja,ni mtu ambae amefanya bidii sana kujisomesha,na amesoma vyuo vingi tu,wakati wa mkapa alisoma phd australia na serikali ilimlipia,fanya kugoogle utavipata hivyo vyuo na unaweza kuviandikua vyuo hivyo vitakupa facts,yuke kainerugaba msemakweli aliyekiandika kike kitabu,hakiwa na facts zozote na alifunguliwa kesi na diallo na yeye mwenyewe mambo yalivyomuendea kombo aliomba msamaha kwa diallo na akasamehewa,hayo ya siada mie siyajui ila kuhusu elimu acha bro jamaa kasoma

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Huyo Dialo enzi hiyo ya awamu ya nne alijilimbikizia vyeti feki hadi vya Phd huku kuna shaka ya yeye kufika japo kidato cha nne.
Na akaanza kuvaa miwani kama ushahidi wa kuwa ana PhD
 
Katika hali ya halisi ukiambiwa umechafua hali ya hewa ina maana umejamba. Kisiasa itakua umeongea jambo la kuwaudhi watu wengi kwenye siasa.

Wenye kumbukumbu watakumbuka enzi ya awamu ya nne iliyokuwa na kashfa nyingi za ufisadi hadi rushwa kuonekana kama ndio njia sahihi kufanikisha kila jambo Anton Dialo alistaajabisha watu kwa tukio moja. Enzi za awamu ya nne ilisemekana alimshitaki waziri wa maliasili enzi hizo kwa JK kwa kutoweza kumpa kitalu cha uwindaji baada ya kumpa dola za kimarekani kiasi fulani. Kuonesha jinsi rushwa ilikua kitu cha kawaida kwa wakubwa kufuatana na Dialo JK alimuamuru waziri huyo kumrudishia Dialo hela zake. Hakuna ushahidi kama JK aliwachukulia hatua yoyote vigogo hao.

Huyo Dialo enzi hiyo ya awamu ya nne alijilimbikizia vyeti feki hadi vya Phd huku kuna shaka ya yeye kufika japo kidato cha nne. Kuna mwandishi mmoja aliandika kitabu kuwaorodhesha watu mashuhuri wenye vyeti feki ambapo Anton Dialo ni mmoja wapo.

Kutokana na hila na kujilimbikizia sifa za uongo Anton Dialo ambaye pia ni mfanya biashara mkubwa akaweza kufikia kua naibu waziri.
Kwa ukweli kauli zake za kinafiki dhidi ya magufuli zimewaudhi wengi. Huyu ni mmojawapo ya watu wamekua wanasitiriwa ndani ya ccm kwa sababu ni mmoja ya wale waliyoigeuza ccm kama kampuni yao binafsi enzi za awamu wa nne.
Diallo asihukumiwe kwa kuongea ukweli, Sukuma Gang, mmeanza kuandika kuandika uwongo dhidi ya Kikwete na Diallo. Diallo kawashika pabaya , Mwendazake hakuwa mtu wa kawaida, ila Fashisti
 
Inashangaza na kusikitisha Mkuu halafu wakamsukumizia Ikulu!!!
Kutokana na unyeti wa taasisi ya urais, ni kashfa kubwa sana kumjukumisha amiri jeshi mkuu na Rais wa nchi mtu mwenye historia ya kuwa na tatizo la afya ya akili. Ijapokuwa kwa upande wa nafasi ya uenyekiti taifa wa CCM suala la mtu kuwa na jalada Milembe halinipi shida sana, hasa kwa uwepo wa viongozi aina ya Mh. Ndugai kupendekezwa na hata kukubalika kuongoza mhimili mwingine nyeti wa Bunge.
 
Katika hali ya halisi ukiambiwa umechafua hali ya hewa ina maana umejamba. Kisiasa itakua umeongea jambo la kuwaudhi watu wengi kwenye siasa.

Wenye kumbukumbu watakumbuka enzi ya awamu ya nne iliyokuwa na kashfa nyingi za ufisadi hadi rushwa kuonekana kama ndio njia sahihi kufanikisha kila jambo Anton Dialo alistaajabisha watu kwa tukio moja. Enzi za awamu ya nne ilisemekana alimshitaki waziri wa maliasili enzi hizo kwa JK kwa kutoweza kumpa kitalu cha uwindaji baada ya kumpa dola za kimarekani kiasi fulani. Kuonesha jinsi rushwa ilikua kitu cha kawaida kwa wakubwa kufuatana na Dialo JK alimuamuru waziri huyo kumrudishia Dialo hela zake. Hakuna ushahidi kama JK aliwachukulia hatua yoyote vigogo hao.

Huyo Dialo enzi hiyo ya awamu ya nne alijilimbikizia vyeti feki hadi vya Phd huku kuna shaka ya yeye kufika japo kidato cha nne. Kuna mwandishi mmoja aliandika kitabu kuwaorodhesha watu mashuhuri wenye vyeti feki ambapo Anton Dialo ni mmoja wapo.

Kutokana na hila na kujilimbikizia sifa za uongo Anton Dialo ambaye pia ni mfanya biashara mkubwa akaweza kufikia kua naibu waziri.
Kwa ukweli kauli zake za kinafiki dhidi ya magufuli zimewaudhi wengi. Huyu ni mmojawapo ya watu wamekua wanasitiriwa ndani ya ccm kwa sababu ni mmoja ya wale waliyoigeuza ccm kama kampuni yao binafsi enzi za awamu wa nne.
Diallo alisomea unesi Bugando ukamshinda akadisco! Baada ya kudisco akatimkia maganzo kuwa mchoji.
 
Back
Top Bottom