Nani anayeweza kutegua kitendawili kwenye hizi picha?

Huyu paka hapa anapanda ngazi au anashuka?
 
Huu uzi ni wa kuukimbia, unaweza kuta akili zinaruka hivi hivi kimasihara.

Hizo picha nyingi zina utata aisee.
 
Huyu kaka pensi yake ina rangi mbili, white na black. Inaonyesha na mwanamke wa kizungu kavaa suruali nyeupe akiwa kaikunja. Mchanganyo ndiyo umetokea hapo. Scars
Ni wewe mwnyewe au hiyo ni baada ya kusoma post #25?
 
Ni wewe mwnyewe au hiyo ni baada ya kusoma post #25?
Imeshajibiwa kumbe? Sijafika huko. Ndiyo nilikuwa nimefungua tu uzi nikajibu mtani. Kama ilishajibiwa kwa usahihi vizuri pia. But hii ilikuwa mawazo yangu, baada ya kuona muda huu picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…