Nani anayeweza kutegua kitendawili kwenye hizi picha?

Nani anayeweza kutegua kitendawili kwenye hizi picha?

Kuna wakati anaspin Clockwise na kuna wakati ni Anti-clockwise
Wakati anaspin clockwise basi jjue ubongo wako wa kushoto ndio unafikiria na ukiona anaspin anticlockwise basi ujue ni ubongo wako wa kulia ndo unafanya kaz
 
Wakati anaspin clockwise basi jjue ubongo wako wa kushoto ndio unafikiria na ukiona anaspin anticlockwise basi ujue ni ubongo wako wa kulia ndo unafanya kaz
😂😂 Bc ubongo wangu wa kushoto upo online afu wa kulia upo offline
 
Ukiachana na huyu mzee, kuna sura 3 za wanawake zinaonekana.

1682432602415.png
 
Unaweza ukaona vitu vinne vilivyojificha kwenye hii picha?

Huyu ni binti anayeongea na simu akiwa ametabasamu, lakini kiuhalisia kuna sura nyingine 3 za mabinti kwenye hii picha.

Mi mpaka saizi nimeziona mbili

Can you spot them?

1682433011268.png
 
Back
Top Bottom