Pre GE2025 Nani apeperushe bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya Urais 2025?

Pre GE2025 Nani apeperushe bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya Urais 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Nani apeperushe bendera ya Chadema Kwa nafasi ya Urais mwakani 2025

  • Godbless Lema

  • Freeman Mbowe

  • Tundu Lissu

  • Joseph Mbilinyi

  • John Heche

  • John Mnyika


Results are only viewable after voting.
Sugu yupo ila Jamaa Yao Lisu aliyepata kura chache na kupoteza Wabunge 2020 amesema anataka kugombea tena 🤣🤣
2020 hakukuwa na uchaguzi, bali yalikuwa maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. We watu wametangazwa washindi huku hawajui kwa uhakika idadi halisi ya kura zao! Sasa huo ni uchaguzi ama ukhanithi?
 
Nani apeperushe bendera ya Chadema Kwa nafasi ya Urais mwakani 2025
Wakati sahihi ukifika watia nia watajitokeza katika kinyan'ganyiro. Mchakato wa kidemokrasia utachukua mkondo wake, hatimaye CDM itampata mgombea wake rasmi.

Unachokifanya sasa ni kama vile unapiga ramli chongashi. Kaa utulie chama makini kitakuja kukupa mtu sahihi wakati sahihi ukifika.
 
Back
Top Bottom