October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Twajua yote ila tunamuangalia tuu. Yeye anamkwamisha Mama yetu. Hataki aendelee. Mr. Tabasamu hatutakubali uliingize taifa hili kwenye matatizo kisa tamaa zako za kijinga.
Wewe ndiye uliyeanzisha haya mambo ya wasiojulikana nani hajui hilo. Walahi tutakushangaza. Unacheka usoni alafu tukigeuka unatung'ong'a.
Mpango wako wa kuleta sura mpya ifikapo tarehe 20 ili kuyapa nguvu maandamano tumeshaunyaka na nikuambie tuu umekwisha. Na bado