heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,042
- 13,383
Mr smile akikufwa hii nchi itapona na wengi watafanya sherehe
Kama Zambia tu.Siku za usoni hapo Tanzania haitakuwa na Rais mstaafu hata mmoja alie hai...!
Yani anatishia as if ni mwamba sana , wakati hata jina lake tu ana hara kulitaja , et Mr tabasam🚮Tabasamu ndo nani?
Mwaga mchele tudonoe.
Umejiandaa kuvaa kanzu na barakoa?
Watanzania ni wajinga sana tumeshamsahau hata nguli wa sheria Senkondo Mvungi alivyouliwaNikikumbuka katiba mpya aliyotuacha kwenye mataa akasema Rais atayefuata atamalizia aliacha mtego pale kwenye katiba mpya mbio huyu mzee JK ni vigumu kujua anafikiria nini mda wote
Ndo hapo sasa! Anatuchanganya huyu nayewewe si ulisema waandamanaji ni Redcross26 imekuwaje umsingizie JK wa watu
Kuna vita dhidi ya intellectual figures kwenye vipindi vyake?hata nguli
Kama Zambia tu.
Unatafuta umaarufu JF peleka upuuzi wako huko paka la bar ww
Sijajiunga juzi humu au ni member tangu miaka hiyo ya mbaliHuijui Jf vizuri usiwe mtu wa kupinga mada za humu huku sio facebook kaka...we kaa kwa kutulia matokeo ya mada za of huwa yanatokea live bila chenga
Nawe ushaziamini porojo za mtoa post?Born town Master mind JK hawezi kukubali CCM imfie mkononi kuna mtu nilimwambia JK ni CCM na CCM ni JK huyu ameandika rasimu nyingi za chama kuzidi mtu yoyote yule ameishi Maisha yake yote CCM toka TANU huyu mzee ni vigumu kujua anawaza nini na vigumu kujua amekasirika lini mda wote anakupa tabasamu Jk 🙌🙌🙌
Mr Tabasamu ni yupi kati ya Kikwete na Kassim?Twajua yote ila tunamuangalia tuu. Yeye anamkwamisha Mama yetu. Hataki aendelee. Mr. Tabasamu hatutakubali uliingize taifa hili kwenye matatizo kisa tamaa zako za kijinga.
Wewe ndiye uliyeanzisha haya mambo ya wasiojulikana nani hajui hilo. Walahi tutakushangaza. Unacheka usoni alafu tukigeuka unatung'ong'a.
Mpango wako wa kuleta sura mpya ifikapo tarehe 20 ili kuyapa nguvu maandamano tumeshaunyaka na nikuambie tuu umekwisha. Na bado
Na badoMr Tabasamu ni yupi kati ya Kikwete na Kassim?
NakukumbushaAcha kuleta taharuki hakuna Nyumbu anaeandamana , nyumbu zimejipanga kuweka bundle kutukana mtandaoni siku hiyo
Nashangaawewe si ulisema waandamanaji ni Redcross26 imekuwaje umsingizie JK wa watu