October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Tutaona. Round hii kakwaa kisiki"Watakufa wao na tuta hudhuria mazishi Yao "
Mhh umeanza kutapa tapa we nae, si ndo Director wako leo unaanza kumsema au unapima watu watasemaje.Twajua yote ila tunamuangalia tuu. Yeye anamkwamisha Mama yetu. Hataki aendelee. Mr. Tabasamu hatutakubali uliingize taifa hili kwenye matatizo kisa tamaa zako za kijinga.
Wewe ndiye uliyeanzisha haya mambo ya wasiojulikana nani hajui hilo. Walahi tutakushangaza. Unacheka usoni alafu tukigeuka unatung'ong'a.
Mpango wako wa kuleta sura mpya ifikapo tarehe 20 ili kuyapa nguvu maandamano tumeshaunyaka na nikuambie tuu umekwisha. Na bado
Bado hamjasema, mtatajana wote.Twajua yote ila tunamuangalia tuu. Yeye anamkwamisha Mama yetu. Hataki aendelee. Mr. Tabasamu hatutakubali uliingize taifa hili kwenye matatizo kisa tamaa zako za kijinga.
Wewe ndiye uliyeanzisha haya mambo ya wasiojulikana nani hajui hilo. Walahi tutakushangaza. Unacheka usoni alafu tukigeuka unatung'ong'a.
Mpango wako wa kuleta sura mpya ifikapo tarehe 20 ili kuyapa nguvu maandamano tumeshaunyaka na nikuambie tuu umekwisha. Na bado
Anakuita ikulu...anakupa chai ukitoka vijana wake wanakusindikiza...inabakia historiaπ π π πBorn town Master mind JK hawezi kukubali CCM imfie mkononi kuna mtu nilimwambia JK ni CCM na CCM ni JK huyu ameandika rasimu nyingi za chama kuzidi mtu yoyote yule ameishi Maisha yake yote CCM toka TANU huyu mzee ni vigumu kujua anawaza nini na vigumu kujua amekasirika lini mda wote anakupa tabasamu Jk πππ
Nikikumbuka katiba mpya aliyotuacha kwenye mataa akasema Rais atayefuata atamalizia aliacha mtego pale kwenye katiba mpya mbio huyu mzee JK ni vigumu kujua anafikiria nini mda woteAnakuita ikulu...anakupa chai ukitoka vijana wake wanakusindikiza...inabakia historiaπ π π π
Huo ndo ukweliSiku za usoni hapo Tanzania haitakuwa na Rais mstaafu hata mmoja alie hai...!
Eti unasemaje wewe?????Twajua yote ila tunamuangalia tuu. Yeye anamkwamisha Mama yetu. Hataki aendelee. Mr. Tabasamu hatutakubali uliingize taifa hili kwenye matatizo kisa tamaa zako za kijinga.