Nani atakuja kutufidia sisi kama nchi kutokana na mradi usio na tija wa SGR?

Mni mpumbavu asiyeona faida ya mradi huu.

Labda ungeuliza uendeshaji wake, lakini ni mradi mzuri sana na wenye faida kubwa ya muda mrefu ikiwa tu tutaweza kuuendesha wenyewe bila kutegemea mataifa ya nje.

Ushindwe kuendesha mradi wa mabasi ndio utaweza electric train?
 
Mimi nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa.....

Kwangu mimi nadhani ingekuwa vyema sana tungeweza kutumia hata nusu tu ya gharama inayotumika sasa kujenga SGR kwa kuikarabati reli hii iliyopo ili ifanye kazi kwa ukamilifu wake kama ilivyokuwa kuanzia miaka ya 2000 kurudi nyuma....

Hii miradi mikubwa mikubwa (SGR na Stiglers Gorge) kwa nature ya sheria zetu na hususani sheria kuu ya nchi - katiba, nakuhakikishia mara Magufuli atakapofurushwa kuachia madaraka ya U-Rais, yanayompa kichwa kuamua kutumia fedha ya nchi vyovyote apendavyo, basi atabeba na kuondoka na hii miradi hii yote kwenye mikoba yake kuelekea CHATO ama kaburini kama atakufa...na ndiyo itakuwa kwishney....!!

Itakufa na itaondoka na Rais Magufuli kwa sbb kiuhalisia hii siyo miradi ya wananchi (nchi) bali ni miradi ya MTU, akiondoka huyo mtu kwenye position yake.....nayo inanfuata nyuma ikimsindikiza anakoelekea iwe ni kaburini ama kokote atakakokwenda ....!!

Tunao mfano halisi wa Mega multbilion dollars project wa Bandari ya Bagamoyo.....

Initiator wa project hii alikuwa Mzee wa Msoga, J.M. Kikwete, kaondoka kwenye madaraka ya u-Rais na mradi umemfuata huko huko Msoga, umestaafu pamoja naye, watu wamepiga dollars zao na kuondoka na wananchi tumeachwa kama mazuzu vile tunashangaa...!!!

Huku tukishangaa, Rais mpya naye anaanzisha Mega Multbilion dollars projects zake zingine kwa mtindo uleule, ikitoa picha kuwa itaishia kulekule ilikoishia ile mingine....!!

Hawa CCM ni wa........... sana kwa kweli. Wanaitekeleza kwa umakini na ujanja wa hali ya juu sera yao ya "kula kwa zamu".....

Mimi nakubaliana na wewe kabisa, hakuna kitu hapa UNLESS lifanyike jambo hapa katikati kabla
 
Mkuu hali ya usalama mashariki mwa Congo nadhani unaielewa na tunaposema mashariki najua umeelewa mpaka utakuwa wapi. Tayari Congo wanaingia hasara kubwa ya kupitisha mizigo inayopotia mpaka wa Tanzania. Now wamejikita eneo la Niger kule ambako usalama ni nzuri. Yani huu mradi eti unategemea vinchi vya Rwanda na Burundi na Rais anataka kugharamia sehemu ya SGR ndani ya Rwanda kutoka Isaka hadi Kigali si ni uzwazwa huo.
 
Mni mpumbavu asiyeona faida ya mradi huu.

Labda ungeuliza uendeshaji wake, lakini ni mradi mzuri sana na wenye faida kubwa ya muda mrefu ikiwa tu tutaweza kuuendesha wenyewe bila kutegemea mataifa ya nje.
Shida kubwa ni uendeshaji na uendelezaji, operational costs zinakuwa kubwa sana siku zote kwenye mashirika ya umma, yanashindwa Ku attain a competitive advantage mwishowe yanakufa.
 
Bila shaka huoni tija pia ya kujenga Ofisi Kuu za Chadema ndio maana mmeishia kupanga mabanda pale Ufipa! Ahahahahahaha!
 
Hilo sio dodoso la serikali. Tatizo lako unasoma kichwa cha andiko na kujibu!

Unaendelea kuonyesha ujinga niliousema!

Kwa hiyo unataka dodoso la nani?
Nilichokuomba kitimize ili ujue hali halisi ya huu mradi
 
Kwa sababu hatuna details za kutosha sidhani kama Rwanda watakuwa wanapewa free lunch lazima kuna gharama wanachangia za upande.

Isitoshe ndio nchi pekee ambayo imekuwa ikionyesha interested ya njia ya mizogo ya reli.

Either way kama nilivyosema in the long run kuweka access ya reli ukanda huo na nchi zilizokuweko mpakani una faida kubwa sana za kimkakati wa muda mrefu.
 
Mni mpumbavu asiyeona faida ya mradi huu.

Labda ungeuliza uendeshaji wake, lakini ni mradi mzuri sana na wenye faida kubwa ya muda mrefu ikiwa tu tutaweza kuuendesha wenyewe bila kutegemea mataifa ya nje.

Kama tu Mradi wa mabasi ya mwendo kasi umetushinda, unategemea muujiza wowote kwanye huo mradi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…