Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Amani Karume au dadake Fatma Karume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania kuna upinzani uchwara. Kazi ya upinzani imekuwa kutisha, kupinga, kutukana, kuongea hovyohovyo, siasa za chuki, kutokuaminika, kununuliwa, kutokuwa na msimamo, kutokuwapo kwa ustaarabu na kutia watu hofu.Maalim Seif alikuwa mwanasiasa wa upinzani ambaye ameleta na kukuza upinzani huko visiwani Zanzibar na inasemakana ameshinda Mara kadhaa ingawa chama tawala hakikuwa tayari kumtangaza kuwa ndiye mshindi.
Jua lilichomoza na Sasa just limezama, Maalim nguvu na pumzi vimemuishia kiasi kwamba Sasa Uchaguzi uliofanyika mwaka ambao alishindwa vibaya kuliko miaka mingine yote, utakuwa Ni Uchaguzi wake wa mwisho kushiriki kinyanganyiro Cha Urais.
Je, ni nani mbadala wake ambaye ataweza kutikisa Kama au kuliko hata Maalim katika siasa za upinzani za Zanzibar?
Hatakama ningekuw mimi lazma ningekubali uteuzi. Kwanza umri umemtupa mkono then hata uhakika wa kushinda huo urais hana , so apige bata tu kwenye v8 ghostSasahivi mzee anakula na kusaza hapati tabu tena
Watu wengi humu ni vitoto vya mwaka 95/2000.Huzijui siasa za Zanzibar, labda ukipata muda wa kukaa na Lipumba muulize atakuelewesha vizuri.
Kama kuna Mtanganyika ambaye angeweza kuwa na influence Zanzibar ni Profesa Lipumba.
Kuna mbinu nyingi zakumlegeza mtu na mojawapo ni kumpelekea ujumbe wa mtu anayemwamini sana.Hebu tuwaze hivi-Wapinzani wote wameweka nguvu katika mataifa ya Magharibi kuwa angalau yanaweza kukemea yaliyotokea katika Uchaguzi.Ghafla Seif anatumiwa ujumbe na balozi wa Marekani kumuelekeza (kwa lugha laini)kuwa ni bora aingie ndani ya seriakli haramu akapaginie anayoyataka ndani ya serikali kuliko kuwa j.Seif anahakikishiwa ya kuwa Marekani bado inam support na ina sympathise naye katika madhila yaliyomkuta.Je,Seif anaweza kukataa ushauri huo?
Nadharia ya pili ni kuwekwa kati na kuambiwa ukweli hasa kama hivi "Mheshimiwa kwa umri wako liwake jua lisiwake jua huwezi kupata U rais wa nchi hii.Pia Mheshimiwa ustawi na usalama wa nchi yetu ni muhimu zaidi kuliko wewe na katika uchaguzi uliopita una makosa makubwa manne ulifanya na ushahidi ni huu hapa (unaweza ukasoma na hata ukachukua kwani nakala zipo nyingi).Ni juu yako kuamua kushirikiana na serikali au la,Tutakuja Jumanne kuchukua majibu au ukiwa tayari tujulishe kwa namba hii hapa"
Kipindi cha Seif ndio kimefikia kikomo,anaingia serikali akiwa amevujika moyo ingawa itabidi aweke tabasamu la plastiki.
Haya ndiyo maisha yetu wanadamu.
Kwa raia wa kawaida kuna wakati tuatakiwa turudi nyuma tuache mambo yaende kama wanavyotaa wakubwa,kupimana nguvu na upepo hakuna faida kwa sasa.
Walio na mawazo tofauti na CCM wataendelea kuwepo na watatfuta njia nyingine ya kuonyesha tofauti zao.
Mandela angekuwa na mawazo kama yako mpk leo SA ingekuwa bado chini ya makaburuhatakama ningekuw mimi lazma ningekubali uteuzi. Kwanza umri umemtupa mkono then hata uhakika wa kushinda huo urais hana , so apige bata tu kwenye v8 ghost
Salum Mwalimu ni mbara mkuu?Huzijui siasa za Zanzibar, labda ukipata muda wa kukaa na Lipumba muulize atakuelewesha vizuri.
Kama kuna Mtanganyika ambaye angeweza kuwa na influence Zanzibar ni Profesa Lipumba.
Mm hapa na mkiniunga mkono nitafanya mengiMaalim Seif alikuwa mwanasiasa wa upinzani ambaye ameleta na kukuza upinzani huko visiwani Zanzibar na inasemakana ameshinda Mara kadhaa ingawa chama tawala hakikuwa tayari kumtangaza kuwa ndiye mshindi.
Jua lilichomoza na Sasa just limezama, Maalim nguvu na pumzi vimemuishia kiasi kwamba Sasa Uchaguzi uliofanyika mwaka ambao alishindwa vibaya kuliko miaka mingine yote, utakuwa Ni Uchaguzi wake wa mwisho kushiriki kinyanganyiro Cha Urais.
Je, ni nani mbadala wake ambaye ataweza kutikisa Kama au kuliko hata Maalim katika siasa za upinzani za Zanzibar?
NotedKuna mbinu nyingi zakumlegeza mtu na mojawapo ni kumpelekea ujumbe wa mtu anayemwamini sana.Hebu tuwaze hivi-Wapinzani wote wameweka nguvu katika mataifa ya Magharibi kuwa angalau yanaweza kukemea yaliyotokea katika Uchaguzi.Ghafla Seif anatumiwa ujumbe na balozi wa Marekani kumuelekeza (kwa lugha laini)kuwa ni bora aingie ndani ya seriakli haramu akapaginie anayoyataka ndani ya serikali kuliko kuwa j.Seif anahakikishiwa ya kuwa Marekani bado inam support na ina sympathise naye katika madhila yaliyomkuta.Je,Seif anaweza kukataa ushauri huo?
Nadharia ya pili ni kuwekwa kati na kuambiwa ukweli hasa kama hivi "Mheshimiwa kwa umri wako liwake jua lisiwake jua huwezi kupata U rais wa nchi hii.Pia Mheshimiwa ustawi na usalama wa nchi yetu ni muhimu zaidi kuliko wewe na katika uchaguzi uliopita una makosa makubwa manne ulifanya na ushahidi ni huu hapa (unaweza ukasoma na hata ukachukua kwani nakala zipo nyingi).Ni juu yako kuamua kushirikiana na serikali au la,Tutakuja Jumanne kuchukua majibu au ukiwa tayari tujulishe kwa namba hii hapa"
Kipindi cha Seif ndio kimefikia kikomo,anaingia serikali akiwa amevujika moyo ingawa itabidi aweke tabasamu la plastiki.
Haya ndiyo maisha yetu wanadamu.
Kwa raia wa kawaida kuna wakati tuatakiwa turudi nyuma tuache mambo yaende kama wanavyotaa wakubwa,kupimana nguvu na upepo hakuna faida kwa sasa.
Walio na mawazo tofauti na CCM wataendelea kuwepo na watatfuta njia nyingine ya kuonyesha tofauti zao.
upo sahihi professa lipumba alipendwa sana na jamiii ya wazanzibari woteKama kuna Mtanganyika ambaye angeweza kuwa na influence Zanzibar ni Profesa Lipumba.