Nani atakuwa Mchezaji bora wa Msimu EPL kati ya Salah na De Bruyne?

Nani atakuwa Mchezaji bora wa Msimu EPL kati ya Salah na De Bruyne?

Salah anafunga sana, KDB ana assist sana, na wote ni tegemeo kwenye timu zao, unahisi nani anapaswa kuwa Mchezaji bora wa Msimu?
Kwangu mimi nampa nafasi Salah.

Salah anaujua ila itategemea ataisaifia Liver kubeba nini. Maana vigezo siku hizi sio kama zamani. Kuna criteria kibao.
 
Kwa namna Man City walivyo,De Bruyne ana nafasi kubwa ya kuwa mchezaji bora.
[HASHTAG]#team[/HASHTAG] manutd#
 
Livafan ni shabiki hususi wa Liverpool.
De bruyne ata deserve zaidi kwa sababu ya achievements zake msimu huu, ikumbukwe kuwa De bruyne kashachukua kombe la EFL/caragabao na muda si Mrefu atabeba epl na yy kama yy ni key player sana kwa man city, Salah ni mchezaji mwenye performance ambayo in outstanding hata inaweza kukushawishi kuwa anafaa kuwa mchezaji bola lkn achivements zinaweza kumnyima kupata fursa hii.
Pamoja na hayo salah anayo nafasi pia kama alivyo De bruyne katika EUFA champions league japo hii haiwezi mwongezea credit ktk kuwa mchezaji bola EPL.
Nihitimishe kwa kusema tu kuwa De bruyne ana nafasi zaidi ya salah, sababu tukizungumzia magoli hata Hali Kane anafunga.
 
KDB atachukuwa kwasababu
1. Premier league wanabeba
2. Juzi wamechukua kwa kumtwanga Asernal 3
4. Hatuelewi ya champions league

Ilikuchukua uchezaji bora pia timu imebeba makombe mangapi

Wrote wapo vizuri lakini kdb ataongezewa na makombe
Sio kweli Mkuu, World Cup ya 2014 iliyofanyika pale Brazil, Ujerumani alitwaa Kombe lakini Mchezaji bora wa Mashindano akawa Lionel Messi.
 
Back
Top Bottom