Livafan ni shabiki hususi wa Liverpool.
De bruyne ata deserve zaidi kwa sababu ya achievements zake msimu huu, ikumbukwe kuwa De bruyne kashachukua kombe la EFL/caragabao na muda si Mrefu atabeba epl na yy kama yy ni key player sana kwa man city, Salah ni mchezaji mwenye performance ambayo in outstanding hata inaweza kukushawishi kuwa anafaa kuwa mchezaji bola lkn achivements zinaweza kumnyima kupata fursa hii.
Pamoja na hayo salah anayo nafasi pia kama alivyo De bruyne katika EUFA champions league japo hii haiwezi mwongezea credit ktk kuwa mchezaji bola EPL.
Nihitimishe kwa kusema tu kuwa De bruyne ana nafasi zaidi ya salah, sababu tukizungumzia magoli hata Hali Kane anafunga.