Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Salah anafunga sana, KDB ana assist sana, na wote ni tegemeo kwenye timu zao, unahisi nani anapaswa kuwa Mchezaji bora wa Msimu?
Kwangu mimi nampa nafasi Salah.
Ahahaaaah...Atachukua harry kane
Sio kweli Mkuu, World Cup ya 2014 iliyofanyika pale Brazil, Ujerumani alitwaa Kombe lakini Mchezaji bora wa Mashindano akawa Lionel Messi.KDB atachukuwa kwasababu
1. Premier league wanabeba
2. Juzi wamechukua kwa kumtwanga Asernal 3
4. Hatuelewi ya champions league
Ilikuchukua uchezaji bora pia timu imebeba makombe mangapi
Wrote wapo vizuri lakini kdb ataongezewa na makombe
Alifika finaliSio kweli Mkuu, World Cup ya 2014 iliyofanyika pale Brazil, Ujerumani alitwaa Kombe lakini Mchezaji bora wa Mashindano akawa Lionel Messi.
Utakuwa umefatilia man city kuanzia hizi match 3 za mwisho yani za Arsenal 2 na Chelsea ndio sane amefanya poa sana, ila ukiongelea mafanikio ya man city msimu huu KDB ni namba 1 tangu ligi ianze hadi hapa ilipofikiaSane ni hatari,
Magori machache lakini ndiyo roho ya mashambulizi kwa man city na De B.
De Bruyneeee hata Ballon d'or apewe tu huyu jamaaUtakuwa umefatilia man city kuanzia hizi match 3 za mwisho yani za Arsenal 2 na Chelsea ndio sane amefanya poa sana, ila ukiongelea mafanikio ya man city msimu huu KDB ni namba 1 tangu ligi ianze hadi hapa ilipofikia
Huyu dogo ni hatari, ni kama vile Iniesta kwenye mafanikio ya barca, sifa na tuzo wanapata wengine ila yeye kama hayupo vileDe Bruyneeee hata Ballon d'or apewe tu huyu jamaa