Salah anaujua ila itategemea ataisaifia Liver kubeba nini. Maana vigezo siku hizi sio kama zamani. Kuna criteria kibao.
Livafan ni shabiki hususi wa Liverpool.
De bruyne ata deserve zaidi kwa sababu ya achievements zake msimu huu, ikumbukwe kuwa De bruyne kashachukua kombe la EFL/caragabao na muda si Mrefu atabeba epl na yy kama yy ni key player sana kwa man city, Salah ni mchezaji mwenye performance ambayo in outstanding hata inaweza kukushawishi kuwa anafaa kuwa mchezaji bola lkn achivements zinaweza kumnyima kupata fursa hii.
Pamoja na hayo salah anayo nafasi pia kama alivyo De bruyne katika EUFA champions league japo hii haiwezi mwongezea credit ktk kuwa mchezaji bola EPL.
Nihitimishe kwa kusema tu kuwa De bruyne ana nafasi zaidi ya salah, sababu tukizungumzia magoli hata Hali Kane anafunga.
KDB atachukuwa kwasababu
1. Premier league wanabeba
2. Juzi wamechukua kwa kumtwanga Asernal 3
4. Hatuelewi ya champions league
Ilikuchukua uchezaji bora pia timu imebeba makombe mangapi
Wrote wapo vizuri lakini kdb ataongezewa na makombe
Si Kweli Hivyo Munavyosema! Kigenzo Cha Mchezaji Kubeba Tunzo Kwa Sababu Ya Kubeba Makombe ni Propaganda za Vijiweni tu! Kama Munayo evidence Hiyo Naomba Muprove Tafadhali!!!
Onesha Hapa Kwa Dalili Kuwa ili ubebe Tunzo ya Uchezaji Bora Wa EPL ni Lazima Timu Yako ibebe Kombe.
√ Mimi Nitawapa Baadhi tu Ya Ushahidi!
Mwaka 2005 Liverpool Ndiyo iliyobeba Champion League na Wakati Huo Gerrard Yupo on Fire lakini Balon Di'or Kabeba Ronaldinho ambayo Barcelona Yake Haikuvuuka Hata Robo Fainali.
Na Wako Wengi Wachezaji Bora Duniani Waliobeba Bila Timu Zao Kubeba Makombe.
√ Kuanzia 2009 mpak 2014 Ndani Ya Uingereza Kuna Wachezaji Hawa Walibeba Tunzo Bila Ya Timu Zao Kuwa Mabingwa Wa [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG].
Kwahiyo Hata Mo Salah anaweza Kuwa Mchezaji Bora Wa EPL Bila ya Kubeba Kombe muhimu tu ziwe Media Zinamkubali.
Kwanini Nasema hivi! Ukweli ni Kwamba Tunzo Zote Za Mpira Duniani ili Uzipate ni Lazima Kwanza Media Zikukubali na Zikufanye Overrated, Venginevyo Hao Wote Mo Salah na De Bruyne Wanaweza Kosa Uchezaji Bora na Ukasikia amepewa LINGARD Kwasababu tu Media Zinamkubali.
Hebu Ona Hapo Juu [HASHTAG]#MirrorFootball[/HASHTAG] wanavyomrate Lingard Kwamba Yupo Level Moja na De Bruyne na Leroy Sane!! Huoni Kama Hichi ni Kichekesho? Hamuoni Kuwa Anaandaliwa Mazingira?
Mfano Mdogo Firmino ana Magoli 22 Mpaka sasa Katika Msimu huu ambayo 13 kati Yao ameyafunga [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG]! Je umewahi Kumsikia akitajwa pahala popote na Media Za Uengereza? Lakini Vipi! Kila Ukurasa Wa Gazeti la Uengereza utakutia Lingard na Lukaku.