Nani atatusaidia kuondoa 'state capture' Tanzania?

Kwa Sasa Tanzania ipo kwenye Hali ya state capture, baada ya serikali, vyombo vya Dola , mahakama na bunge kuwa kitu kimoja na kuondoa uwajibikaji. Leo bunge limeacha kazi yake ya kuisimamia serikali baadala yake limekuwa rubber stamp ya maamuzi ya serikali. Kwa mfano bunge la Tanzania limetumika kupokea wabunge wasiokuwa na chama au waliofukuzwa kwenye chama chao. Ila kwa sababu ya state capture bunge linafanya maovu na hakuna wa kuligusa. Bunge kupitia Spika wake wameona suala la wananchi kutekwa sio la msingi kujadiliwa bungeni ila kumpongeza Rais Kwa hotuba yake ndio la muhimu zaidi. Swali ni je, nani atasaidia tuondokkane na bunge la mchongo lililojaa machawa wa serikali wasiojua majukumu yao?.

Mahakama ndio imeoza kupindukia. Kuna kipindi Jaji Mkuu Ibrahim Juma alisema hadharani ya kwamba majaji watoe hukumu kwa kuangalia falsafa ya serikali. Yani baadala ya mahakama kuwa huru na kufanya maamuzi stahiki, Jaji Mkuu anashauri majaji waangalie muelekeo wa serikali ni upi. Jaji Mkuu mwenyewe alitakiwa kustaafu kwa mujibu wa Katiba ila kutokana na state capture aliongezewa muda kinyemela. Ndio maana Rostam Aziz alidai ya kwamba mahakama zetu zinapigiwa simu tu na kutoa maamuzi. Swali ni nani atawasaidia wananchi waondokane na mahakama mbovu ya Tanzania?

Vyombo vya Dola navyo vinajiendesha under state capture. Ndio maana mpaka Leo tunajikanyaga kuhusu nani anateka watu na kuwapoteza. Polisi hawajui, TISS hawajui na hata JWTZ hawajui. Sasa nani atawalinda wananchi dhidi ya utekaji . Leo Kuna wananchi jumla ya 89 wamepotezwa mpaka Leo ila kila mtu hajui wapi wapi. Yani raia anaondolewa kwenye basi na kuuawa na hakuna anayewajibika. Inasikitisha sana. Kutokana na state capture wananchi watazidi kupotezwa na hata kuuawa bila ya msaada. Nani atawasaidia wananchi na huu ukatili?

Serikali imejaa dharau na kebehi. Waziri wa Fedha alifikia sehemu ya kusema asiyeridhika na tozo ya miamala ya simu ahamie Burundi. Kauli za dharau na kiburi maana hakuna wa kumwajibisha. Rais Samiah akatoa Lugha ya dharau kwamba wanaotekwa wanajiteka wenyewe. Na hakuishia hapo akaendelea kudai hata waliouawa kwenye matukio ya utekaji Vifo vyao ni vya kawaida. Yani kwake uhai wa raia ni kawaida tu. Anaongea hivyo maana state capture inamsaidia na hakuna uwajibikaji na hakuna atakalofanywa. Ni nani atatusaidia tuondokkane na Rais mwenye kiburi na dharau Kama huyu?

Leo Tanzania Tume ya Uchaguzi inaweza kuamua kuwapa CCM majimbo yote na hakuna atayeiwajibisha. Leo watu wanaweza kuamka asubuhi na kwenda kuapishwa bungeni bila kuwa na chama na Wakaaapishwa.

Mimi nadhani Kuna njia nne za kuondokana na huu ufirauni wa state capture nchini Tanzania.

1. Katiba Mpya itakayoweka structures na uwajibikaji. Yani mtu akitekwa hadharani mchana akaenda kuuawa , RPC wa eneo lililotokea utekwaji anawajibika mwenyewe kwa kutochukua hatua. Juzi hapo Kenya IGP Msaidizi alihukumiwa miezi SITA jela kwa kudharau mahakama baada ya raia kupotea bila sababu. Pona yake wale raia wawili waliopotea walipatikana siku hiyo na yeye kuomba msamaha mahakama na kusamehewa.

2. Mass Uprising. Wananchi waanazishe maandamano nchi nzima kushinikiza kuoondka kwa state capture Tanzania. Hii kwa Tanzania itakuwa ngumu mpaka pale kila mmoja atakapoguswa .

3. Second Liberization movement. Hapa ni kuanzisha kikundi Cha uasi kuondoka state capture na kurudisha mamlaka kwa wananchi. Hii njia sio nzuri maana itapelekea vita na mauaji na mambo mengi kurudi nyuma.

4. Kumuomba Mungu afanye miujiza tuondokane na hii laana ya state capture.
Kwani kuna mtu kanyimwa mshahara au kuna wananchi wanazuiwa wasifanye kazi zao za kila siku kama hakuna kilichokwama basi acha tupige kazi.
 
Kwa Sasa Tanzania ipo kwenye Hali ya state capture, baada ya serikali, vyombo vya Dola , mahakama na bunge kuwa kitu kimoja na kuondoa uwajibikaji. Leo bunge limeacha kazi yake ya kuisimamia serikali baadala yake limekuwa rubber stamp ya maamuzi ya serikali. Kwa mfano bunge la Tanzania limetumika kupokea wabunge wasiokuwa na chama au waliofukuzwa kwenye chama chao.

Ila kwa sababu ya state capture bunge linafanya maovu na hakuna wa kuligusa. Bunge kupitia Spika wake wameona suala la wananchi kutekwa sio la msingi kujadiliwa bungeni ila kumpongeza Rais Kwa hotuba yake ndio la muhimu zaidi.

Swali ni je, nani atasaidia tuondokkane na bunge la mchongo lililojaa machawa wa serikali wasiojua majukumu yao?.

Mahakama ndio imeoza kupindukia. Kuna kipindi Jaji Mkuu Ibrahim Juma alisema hadharani ya kwamba majaji watoe hukumu kwa kuangalia falsafa ya serikali.

Yani baadala ya mahakama kuwa huru na kufanya maamuzi stahiki, Jaji Mkuu anashauri majaji waangalie muelekeo wa serikali ni upi.

Jaji Mkuu mwenyewe alitakiwa kustaafu kwa mujibu wa Katiba ila kutokana na state capture aliongezewa muda kinyemela. Ndio maana Rostam Aziz alidai ya kwamba mahakama zetu zinapigiwa simu tu na kutoa maamuzi.

Swali ni nani atawasaidia wananchi waondokane na mahakama mbovu ya Tanzania?

Vyombo vya Dola navyo vinajiendesha under state capture.

Ndio maana mpaka Leo tunajikanyaga kuhusu nani anateka watu na kuwapoteza. Polisi hawajui, TISS hawajui na hata JWTZ hawajui. Sasa nani atawalinda wananchi dhidi ya utekaji . Leo Kuna wananchi jumla ya 89 wamepotezwa mpaka Leo ila kila mtu hajui wapi wapi. Yani raia anaondolewa kwenye basi na kuuawa na hakuna anayewajibika.

Inasikitisha sana. Kutokana na state capture wananchi watazidi kupotezwa na hata kuuawa bila ya msaada. Nani atawasaidia wananchi na huu ukatili?

Serikali imejaa dharau na kebehi. Waziri wa Fedha alifikia sehemu ya kusema asiyeridhika na tozo ya miamala ya simu ahamie Burundi. Kauli za dharau na kiburi maana hakuna wa kumwajibisha. Rais Samia akatoa Lugha ya dharau kwamba wanaotekwa wanajiteka wenyewe.

Na hakuishia hapo akaendelea kudai hata waliouawa kwenye matukio ya utekaji Vifo vyao ni vya kawaida. Yani kwake uhai wa raia ni kawaida tu. Anaongea hivyo maana state capture inamsaidia na hakuna uwajibikaji na hakuna atakalofanywa. Ni nani atatusaidia tuondokkane na Rais mwenye kiburi na dharau Kama huyu?

Leo Tanzania Tume ya Uchaguzi inaweza kuamua kuwapa CCM majimbo yote na hakuna atayeiwajibisha.

Leo watu wanaweza kuamka asubuhi na kwenda kuapishwa bungeni bila kuwa na chama na Wakaaapishwa.

Mimi nadhani Kuna njia nne za kuondokana na huu ufirauni wa state capture nchini Tanzania.

1. Katiba Mpya itakayoweka structures na uwajibikaji. Yani mtu akitekwa hadharani mchana akaenda kuuawa , RPC wa eneo lililotokea utekwaji anawajibika mwenyewe kwa kutochukua hatua. Juzi hapo Kenya IGP Msaidizi alihukumiwa miezi SITA jela kwa kudharau mahakama baada ya raia kupotea bila sababu. Pona yake wale raia wawili waliopotea walipatikana siku hiyo na yeye kuomba msamaha mahakama na kusamehewa.

2. Mass Uprising. Wananchi waanazishe maandamano nchi nzima kushinikiza kuoondka kwa state capture Tanzania. Hii kwa Tanzania itakuwa ngumu mpaka pale kila mmoja atakapoguswa .

3. Second Liberization movement. Hapa ni kuanzisha kikundi Cha uasi kuondoka state capture na kurudisha mamlaka kwa wananchi. Hii njia sio nzuri maana itapelekea vita na mauaji na mambo mengi kurudi nyuma.

4. Kumuomba Mungu afanye miujiza tuondokane na hii laana ya state capture.
Kwa kweli hali inasikitisha sana.

Nakumbuka Rais Samia, baada ya kifo Cha Ali Kibao, ali-post Kwenye ukurasa wake wa Twitter, kuwa amesikitishwa mno na kifo Cha Ali Kibao, hatataka matukio ya aina hiyo yajitokeze nchini kwetu, Kwa kuwa nchi hii ni ya kidemokrasia na Kila mtu ana HAKI ya KUISHI

Siku chache zilizofuata, Rais kageuka na kusema kuwa eti hicho kifo ni drama tu na kifo ni kifo tuu!😳

Hivi sasa ni mwezi kamili tokea kifo Cha Ali Kibao, hakuna uchunguzi wowote unaoendelea kuhusu kifo hicho Cha Ali Kibao na yeye Rais Samia amegoma kuunda Tume huru ya Kijaji kuchunguza kifo hicho!😳

Dawa iliyobaki ni Moja tu Ili kuondoa hiyo State Capture ni Kwa wananchi wote kujitoa Kwa kile tunachoita People's Power na kuwalazimisha hawa watawala wetu wakatili ili wasalimu amri na kuirejesha nchi yetu Kwenye Demokrasia kamili
 
Tanzania kwa sasa ni zaidi ya demu wa mtungo, kila mmoja anajipigia tu, kila mmoja anafikiria namna ya kujichotea mpunga kwa nafasi yake.
Hatuna msaada wa jeshi, hatuna msaada wa bunge wala mahakama.
Na kwa kuwa sisi wenyewe, tumeamua kunung'unikia moyoni, basi tuishi tu kila mmoja akisubiri nafasi yake, apige pesa, na kusubiri siku ya kufa.
 
Itaondolewa siku wananchi wote wakiondoa uoga.wakiamua kufanya maandamano yasiyo na kikomo kama walivyofanya Kenya,misiri au Tunisia.viongozi Huwa wanaogopa sana nguvu ya umma ikiamua kuwawajibisha.
 
Kwa Sasa Tanzania ipo kwenye Hali ya state capture, baada ya serikali, vyombo vya Dola , mahakama na bunge kuwa kitu kimoja na kuondoa uwajibikaji. Leo bunge limeacha kazi yake ya kuisimamia serikali baadala yake limekuwa rubber stamp ya maamuzi ya serikali. Kwa mfano bunge la Tanzania limetumika kupokea wabunge wasiokuwa na chama au waliofukuzwa kwenye chama chao.

Ila kwa sababu ya state capture bunge linafanya maovu na hakuna wa kuligusa. Bunge kupitia Spika wake wameona suala la wananchi kutekwa sio la msingi kujadiliwa bungeni ila kumpongeza Rais Kwa hotuba yake ndio la muhimu zaidi.

Swali ni je, nani atasaidia tuondokkane na bunge la mchongo lililojaa machawa wa serikali wasiojua majukumu yao?.

Mahakama ndio imeoza kupindukia. Kuna kipindi Jaji Mkuu Ibrahim Juma alisema hadharani ya kwamba majaji watoe hukumu kwa kuangalia falsafa ya serikali.

Yani baadala ya mahakama kuwa huru na kufanya maamuzi stahiki, Jaji Mkuu anashauri majaji waangalie muelekeo wa serikali ni upi.

Jaji Mkuu mwenyewe alitakiwa kustaafu kwa mujibu wa Katiba ila kutokana na state capture aliongezewa muda kinyemela. Ndio maana Rostam Aziz alidai ya kwamba mahakama zetu zinapigiwa simu tu na kutoa maamuzi.

Swali ni nani atawasaidia wananchi waondokane na mahakama mbovu ya Tanzania?

Vyombo vya Dola navyo vinajiendesha under state capture.

Ndio maana mpaka Leo tunajikanyaga kuhusu nani anateka watu na kuwapoteza. Polisi hawajui, TISS hawajui na hata JWTZ hawajui. Sasa nani atawalinda wananchi dhidi ya utekaji . Leo Kuna wananchi jumla ya 89 wamepotezwa mpaka Leo ila kila mtu hajui wapi wapi. Yani raia anaondolewa kwenye basi na kuuawa na hakuna anayewajibika.

Inasikitisha sana. Kutokana na state capture wananchi watazidi kupotezwa na hata kuuawa bila ya msaada. Nani atawasaidia wananchi na huu ukatili?

Serikali imejaa dharau na kebehi. Waziri wa Fedha alifikia sehemu ya kusema asiyeridhika na tozo ya miamala ya simu ahamie Burundi. Kauli za dharau na kiburi maana hakuna wa kumwajibisha. Rais Samia akatoa Lugha ya dharau kwamba wanaotekwa wanajiteka wenyewe.

Na hakuishia hapo akaendelea kudai hata waliouawa kwenye matukio ya utekaji Vifo vyao ni vya kawaida. Yani kwake uhai wa raia ni kawaida tu. Anaongea hivyo maana state capture inamsaidia na hakuna uwajibikaji na hakuna atakalofanywa. Ni nani atatusaidia tuondokkane na Rais mwenye kiburi na dharau Kama huyu?

Leo Tanzania Tume ya Uchaguzi inaweza kuamua kuwapa CCM majimbo yote na hakuna atayeiwajibisha.

Leo watu wanaweza kuamka asubuhi na kwenda kuapishwa bungeni bila kuwa na chama na Wakaaapishwa.

Mimi nadhani Kuna njia nne za kuondokana na huu ufirauni wa state capture nchini Tanzania.

1. Katiba Mpya itakayoweka structures na uwajibikaji. Yani mtu akitekwa hadharani mchana akaenda kuuawa , RPC wa eneo lililotokea utekwaji anawajibika mwenyewe kwa kutochukua hatua. Juzi hapo Kenya IGP Msaidizi alihukumiwa miezi SITA jela kwa kudharau mahakama baada ya raia kupotea bila sababu. Pona yake wale raia wawili waliopotea walipatikana siku hiyo na yeye kuomba msamaha mahakama na kusamehewa.

2. Mass Uprising. Wananchi waanazishe maandamano nchi nzima kushinikiza kuoondka kwa state capture Tanzania. Hii kwa Tanzania itakuwa ngumu mpaka pale kila mmoja atakapoguswa .

3. Second Liberization movement. Hapa ni kuanzisha kikundi Cha uasi kuondoka state capture na kurudisha mamlaka kwa wananchi. Hii njia sio nzuri maana itapelekea vita na mauaji na mambo mengi kurudi nyuma.

4. Kumuomba Mungu afanye miujiza tuondokane na hii laana ya state capture.
Kumuomba Mungu afanye miujiza tuondokane na hii laana ya state capture.
 
Hili
.https://www.jamiiforums.com/threads/nusura-ya-tanganyika-ni-anguko-la-ccm.2264411/
 
Well said.
 
Kwa kweli suala lililobaki ni kumuomba sana Mungu bila kuchoka ili aonyeshe njia ya namna ya kuondokana na utawala huu dhalimu, uliojikita katika kuwapoteza raia na mauaji holela ya wananchi
 
Tangu lini mihimili ya serikali ya Tanzania ya kawa huru wa kulaumu ni Nyerere ndo chanzo cha siasa za state supremancy.
Ni kweli lakini usisahau kipindi cha Nyerere wapo waliowajibishwa na wengine kuwajibika wenyewe pale yalipotokea ya kutokea !
Hayati Mzee Mwinyi kwa mfano mmoja tu ,
So Nyerere mumuache apumzike !
Baba kama hakujenga nyumba mpaka mwisho wa uhai wake nami nifanye vivyo hivyo hata kama uwezo ninao ?????!!!! 😳🙄🙏
 
Walipovuruga elimu na kurusu watoto wasiojua kusoma kufaulu elimu ya sekondari, wakaondoa baadhi ya vitabu vilivyokuwa vinachochea watoto kuchukia uonevi...mfano Kuli cha Shafi Adam, wakawahonga waandishi vyeo kama wakuu wa wilaya na nk, orodha ya uzandiki ni ndeefu....ukiona wanateuana kwa kujirudia rudia,

Kweli kabisa mkuu. Wamefanya kizazi Cha Sasa kuwa very cheap, hakipo critical kabisa.
 
Jamii mafuzu yakirudishiwa akili tena inakaribia kurudishwa, binadamu ana akili sana lakini binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri, binadamu akipata changamoto huamsha ubongo, na kukabiliana na changamoto

Kwasasa jamii siyo tena bongolala mimi nime test mitambo, ukiwaelimisha wanaelewa halafu wanabaki kujishangaa japokuwa kuna baadhi hawaelewi chchote ila huwa wanadhani wana upeo mkubwa wa kufikiri wengine huwa wanalazimisha ufikiri wanavyotaka wawo kuna vitu sote huweza kuvifanya kwa ufanisi kama kwenda chooni, kuoga, kutembea, kuendesha gari, kunywa maji, pombe kukaa, kulala mwingine akiona hivi vyote anaweza kama wewe hasa akiwa na hela kukuzidi hudhani una upeo mdogo wa kuelewa

Kweli kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom