Nani atatusaidia kuondoa 'state capture' Tanzania?

Kwani kuna mtu kanyimwa mshahara au kuna wananchi wanazuiwa wasifanye kazi zao za kila siku kama hakuna kilichokwama basi acha tupige kazi.
 
Kwa kweli hali inasikitisha sana.

Nakumbuka Rais Samia, baada ya kifo Cha Ali Kibao, ali-post Kwenye ukurasa wake wa Twitter, kuwa amesikitishwa mno na kifo Cha Ali Kibao, hatataka matukio ya aina hiyo yajitokeze nchini kwetu, Kwa kuwa nchi hii ni ya kidemokrasia na Kila mtu ana HAKI ya KUISHI

Siku chache zilizofuata, Rais kageuka na kusema kuwa eti hicho kifo ni drama tu na kifo ni kifo tuu!😳

Hivi sasa ni mwezi kamili tokea kifo Cha Ali Kibao, hakuna uchunguzi wowote unaoendelea kuhusu kifo hicho Cha Ali Kibao na yeye Rais Samia amegoma kuunda Tume huru ya Kijaji kuchunguza kifo hicho!😳

Dawa iliyobaki ni Moja tu Ili kuondoa hiyo State Capture ni Kwa wananchi wote kujitoa Kwa kile tunachoita People's Power na kuwalazimisha hawa watawala wetu wakatili ili wasalimu amri na kuirejesha nchi yetu Kwenye Demokrasia kamili
 
Tanzania kwa sasa ni zaidi ya demu wa mtungo, kila mmoja anajipigia tu, kila mmoja anafikiria namna ya kujichotea mpunga kwa nafasi yake.
Hatuna msaada wa jeshi, hatuna msaada wa bunge wala mahakama.
Na kwa kuwa sisi wenyewe, tumeamua kunung'unikia moyoni, basi tuishi tu kila mmoja akisubiri nafasi yake, apige pesa, na kusubiri siku ya kufa.
 
Itaondolewa siku wananchi wote wakiondoa uoga.wakiamua kufanya maandamano yasiyo na kikomo kama walivyofanya Kenya,misiri au Tunisia.viongozi Huwa wanaogopa sana nguvu ya umma ikiamua kuwawajibisha.
 
Kumuomba Mungu afanye miujiza tuondokane na hii laana ya state capture.
 
Kumuomba Mungu afanye miujiza tuondokane na hii laana ya state capture.
Hili
.https://www.jamiiforums.com/threads/nusura-ya-tanganyika-ni-anguko-la-ccm.2264411/
 
Well said.
 
Kumuomba Mungu afanye miujiza tuondokane na hii laana ya state capture.
Hili
.https://www.jamiiforums.com/threads/nusura-ya-tanganyika-ni-anguko-la-ccm.2264411/
Kwa kweli suala lililobaki ni kumuomba sana Mungu bila kuchoka ili aonyeshe njia ya namna ya kuondokana na utawala huu dhalimu, uliojikita katika kuwapoteza raia na mauaji holela ya wananchi
 
Tangu lini mihimili ya serikali ya Tanzania ya kawa huru wa kulaumu ni Nyerere ndo chanzo cha siasa za state supremancy.
Ni kweli lakini usisahau kipindi cha Nyerere wapo waliowajibishwa na wengine kuwajibika wenyewe pale yalipotokea ya kutokea !
Hayati Mzee Mwinyi kwa mfano mmoja tu ,
So Nyerere mumuache apumzike !
Baba kama hakujenga nyumba mpaka mwisho wa uhai wake nami nifanye vivyo hivyo hata kama uwezo ninao ?????!!!! πŸ˜³πŸ™„πŸ™
 

Kweli kabisa mkuu. Wamefanya kizazi Cha Sasa kuwa very cheap, hakipo critical kabisa.
 

Kweli kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…