Nani bigwa Ligi kuu msimu wa 2024/2025 kati ya Simba Vs Yanga?

Timuipi itabeba taji la ushindi wa Ligi kuu Tanzania msimu huu 2024/2025 kati ya Simba na Yanga?


  • Total voters
    13
Mfalme hajacheza kabisa ligi kuu mmeanza kuvimba ?? πŸ˜€ πŸ˜€

Ilibidi uulize Yanga watachukua points 6 za Simba kwa 5g au wiki
 
Tusubiri mechi 10 kila upande ndipo tupate majibu sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…