Kwanini unanipa jukumu la kwenda kugoogle wakati ni neno uliloliandika wewe hapa jamvini?Ka google.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] sawa mkuuTAFADHALI SANA MKUU USINIFANANISHE NA CCM NAOMBA TUHESHIMIANE MKUU!!
Hebu soma hiyo post ya mkuu Canabis hapo juu utaelewa ninachokisema mimiKiungo utampima kwa kitu gani kama sio assist?
Mshambuliaji utampima kwa kitu gani kama sio magoli aliyofunga?
Primary role ya kiungo sio kufunga ni kuchezesha timu na ku assist.
Kama hii ni primary role ya kiungo basi watu kama Claude Makelele, Roy Keane, Busquets, Gatusso ni viungo wabovu kuwahi kutokeaPrimary role ya kiungo sio kufunga ni kuchezesha timu na ku assist.
Acha kutegemea mawazo ya watu!Hebu soma hiyo post ya mkuu Canabis hapo juu utaelewa ninachokisema mimi
Unajua hao viungo ulio wataja walikua wanacheza namba ngapi mkuu?Kama hii ni primary role ya kiungo basi watu kama Claude Makelele, Roy Keane, Busquets, Gatusso ni viungo wabovu kuwahi kutokea
Nigga umesoma hizo statistics au ume jibu kishabiki?KDB ni noma pogba she is overrated like gaucho
Mbona ni za assist tu wekeni na goalsNigga umesoma hizo statistics au ume jibu kishabiki?
Unajua hao viungo ulio wataja walikua wanacheza namba ngapi mkuu?
Je unajua Pogba na De brune wanacheza namba ngapi?
Majukumu ya attacking midfield na defencive midfield yako sawa kweli? naona kama unalinganisha visivyoling
Primary role ya kiungo sio kufunga ni kuchezesha timu na ku assist.
Hili neno ulilomuita tu limenifukuza kwa hii thread. [HASHTAG]#mtakeRadhi[/HASHTAG]Nigga umesoma hizo statistics au ume jibu kishabiki?
Unaweza ukawa sahihi ila huyo de brune alichemsha kwenye mfumo wa kulinda wa mourinho lakin pogba ameonyesha anaweza fanya vizuri hata kama mfumo ukiwa sio kushambulia full time.Hakuna ubaya wowote ule ukiwa na uwezo wa kuzigusa nyavu za opponents. Ukiweza hili thamani yako inaongezeka zaidi. Kocha mwenye uelewa mkubwa kama kuchagua hawa wawili mzungu atapewa kipaumbele.
Mbona huweki na idadi ya magori yao!?Soma mada uelewe!
Kazi ya kiungo ni ku assist na kuchezesha timu.
Pogba ana assist 9 wakati amecheza mechi 13 tu
De bruyne ana assists 9 amecheza mechi 23
Kwa akili yako unadhan hapo nani zaidi?
Twende taratibu utaelewa!!Mkuu rejea hii post yako hapo chini ? Kwani hao niliowataja hapo sio viungo ?
Kwani ni washambuliaji? hapa tunajadili viungo na sio washambuliaji!Mbona huweki na idadi ya magori yao!?