Nani bora kati ya Paul Pogba na Kevin De Bruyne?

Nani bora kati ya Paul Pogba na Kevin De Bruyne?

Hakuna ubaya wowote ule ukiwa na uwezo wa kuzigusa nyavu za opponents. Ukiweza hili thamani yako inaongezeka zaidi. Kocha mwenye uelewa mkubwa kama kuchagua hawa wawili mzungu atapewa kipaumbele.

Primary role ya kiungo sio kufunga ni kuchezesha timu na ku assist.
 
Hebu soma hiyo post ya mkuu Canabis hapo juu utaelewa ninachokisema mimi
Acha kutegemea mawazo ya watu!

Mimi nimekuuliza wewe!

Ukitaka kumpima kiungo utampima kwa kigezo gani?

Je ukitaka kumpima mshambuliaji utampima kwa kigezo gani?
 
Kama hii ni primary role ya kiungo basi watu kama Claude Makelele, Roy Keane, Busquets, Gatusso ni viungo wabovu kuwahi kutokea
Unajua hao viungo ulio wataja walikua wanacheza namba ngapi mkuu?

Je unajua Pogba na De brune wanacheza namba ngapi?

Majukumu ya attacking midfield na defencive midfield yako sawa kweli? naona kama unalinganisha visivyolingana mkuu...
 
Pogba ni wa kufananishwa na mwenzie huyu Sizonje.
 
Unajua hao viungo ulio wataja walikua wanacheza namba ngapi mkuu?

Je unajua Pogba na De brune wanacheza namba ngapi?

Majukumu ya attacking midfield na defencive midfield yako sawa kweli? naona kama unalinganisha visivyoling

Mkuu rejea hii post yako hapo chini ? Kwani hao niliowataja hapo sio viungo ?

Primary role ya kiungo sio kufunga ni kuchezesha timu na ku assist.
 
Hakuna ubaya wowote ule ukiwa na uwezo wa kuzigusa nyavu za opponents. Ukiweza hili thamani yako inaongezeka zaidi. Kocha mwenye uelewa mkubwa kama kuchagua hawa wawili mzungu atapewa kipaumbele.
Unaweza ukawa sahihi ila huyo de brune alichemsha kwenye mfumo wa kulinda wa mourinho lakin pogba ameonyesha anaweza fanya vizuri hata kama mfumo ukiwa sio kushambulia full time.

Kwa lugha ingine pogba angekua chini ya gadiola wenda angekua na assits nyingi sana tofauti na alizo nazo sasa!!!

Bado Pogba ni the best!
 
Mkuu rejea hii post yako hapo chini ? Kwani hao niliowataja hapo sio viungo ?
Twende taratibu utaelewa!!

Akina makelele walikua ni holding midfield na mara nyingi walikua nyuma kusaidia ulinzi...

Huwezi walinganisha na akina pogba na de brune ambao wako nyuma ya washambuliaji wa timu...na hawa kazi yao kubwa ni ku assist na kuchezesha timu!

Na ndio maana tunamlinganisha pogba na de brune na sio pobga na makelele!
 
Back
Top Bottom