Nani bora kati ya Paul Pogba na Kevin De Bruyne?

Tukiacha ushabiki KDB yuko vizuri sana kuanzia uchezeshaji,usaidizi,nidhamu na hata ufungaji magoli pia.
Ili km ni ushabiki nafikiri Pogba atashinda maana washabiki wa Man U huwa hawakubali ukweli wala kushindwa.
 
Tukiacha ushabiki KDB yuko vizuri sana kuanzia uchezeshaji,usaidizi,nidhamu na hata ufungaji magoli pia.
Ili km ni ushabiki nafikiri Pogba atashinda maana washabiki wa Man U huwa hawakubali ukweli wala kushindwa.
Naona unaleta siasa hapa!!

Weka data data mezani twende sawa sio unabwabwaja tu!
 
Nimekujibu kutokana na post yako uliyoweka, wewe ulisema kiungo kazi yake ni kutoa assist, nikakuwekea viungo ambao kutokana na umahiri wao wengi huwasema ni legends, umebadili mwelekeo na kukubali kwamba sio lazima kiungo atoe tu assist anaweza akawa na role nyingine
 
KDB ni noma albino wa kizungu anaejua mpira sana
POGBA ni namba mbili baada ya KDB
 
Paul Scholes ni mmoja wapo wa viungo bora kuwahi kucheza premier league, inawezekana akawa bora kuliko viungo wote waliowahi kucheza ligi hii, katika career yake alianza kucheza msimu wa mwaka 1994/1995 mpaka 2012/2013, Jumla ya mechi 499. Alifanikiwa kutoa assist 55 tu kwa wastani tunaweza kusema ni assists 0.11 kwa msimu mmoja, yani kwenye msimu mmoja ametoa assist chini ya 1.

Sasa kwa kuwa tunaangalia tu namba ya assist inawezekana akawa ni mojawapo wa vilaza kabisa katika mchezo huu wa mpira wa miguu, yani hastahili kupewa heshima yoyote.

Lakini magwiji wengi wa soka wanameshimu huyu jamaa, inamaana wamekosea? Umewahi kumuona akiwa uwanjani ?
 

Upo sahihi kabisa Mkuu ndo maana nikasema wanalingana assists ila Pogba yuko nyuma mechi kumi ndo utaona kwamba Pogba ni best play maker kuliko KDB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…