Umetetea hoja yako vizuriKwa wanaojua mpira watakuambia kuangalia statistics kama assists au number of goals sio kila kitu, ukiangalia hizo statistics unaweza kusema Paul Scholes, Andreas Iniesta ni wachezaji wa kawaida sana (average players at best) lakini pambana nao uwanjani ndio utaelewa
Katapeli kwenye forex huku noKa google umri wao mkuu usiwe mvivu!! Ukipata jibu uje ufute ulichoandika hapa
Kijana wa dar a.k.a mchele mpungaPAUL LABILE POGBA
Kiungo utampima kwa kitu gani kama sio assist?
Mshambuliaji utampima kwa kitu gani kama sio magoli aliyofunga?
Niambie Mkuu ..Kijana wa dar a.k.a mchele mpunga
usimfananishe De Bruyne na shitholes tafadhali..Ikitokea wewe ni kocha na umebakiwa na nafasi moja ya 'sub' na nje wapo Paul Pogba na Kevin De Bruyne....
Nani utampa nafasi ya kuingia na kwanini?
Hujui chochote katika soka.Kwa kutumia mihemko uko sahihi ila kwa kutumia data uko very wrong.
Alafu wewe mkunduWote mavi
Nilitazama mechi ya man u na stoke city Paulo alipiga mwingi sana, ila mechi ilipoisha wachambuzi walizua hoja ambayo nilikua naiwaza sana, kwa nn pogba hua hapetfom vile kwenye big match? Jibu ni kwamba na yeye ni mchezaji wa kawaida tu siwezi kumuita world class player.Moja kwa moja ni Poga ...
Pogba ukiachana na utukutu wa kupata kadi hayuko prone sana na injuries na ukifatilia statistics zao utaona Pogba amelingana na KDB assist ila kazidiwa mechi kama kumi na KDB na mechi zote alizocheza POGBA loose ni zero
Pogba [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Wewe uache uvivu wa kusumbuana. Unajua andika hapa. Ikiwezekana rekebishaKa google umri wao mkuu usiwe mvivu!! Ukipata jibu uje ufute ulichoandika hapa
Pogba akifikisha mechi 23 atakuwa zaidi ya ALBINODah hakika mashabiki wa Man U mna tabu. Yaan pogba katoa zile assist mbili against stoke city mnapiga kelele kweli kweli. Albino sio mtu mzur jaman. Ana uwezo wa kuamua mechi kitu ambacho pogba hana. Pia albino anaonekana hata ktk mechi kubwa, ujue hiki kitu kinamtofautisha na viungo wengi sana kama wakina ozil ambao zao ni mechi ya norwich ndio unawaona yeye ni ktk big occasion anaonekana zaid pia.halaf hzo assist zenyew wako sawa kinachofanya watu wapige kelele ni uchache wa mechi alizocheza pogba.
All in all albino yupo vizur achen masihala
Acheni ushabiki KDB ni habari nyingine, tupilia mbali ushabikiSoma mada uelewe!
Kazi ya kiungo ni ku assist na kuchezesha timu.
Pogba ana assist 9 wakati amecheza mechi 13 tu
De bruyne ana assists 9 amecheza mechi 23
Kwa akili yako unadhan hapo nani zaidi?
Mkuu hiyo ni kutoka na jinsi united wanavyozi approach Big match kwa sasaNilitazama mechi ya man u na stoke city Paulo alipiga mwingi sana, ila mechi ilipoisha wachambuzi walizua hoja ambayo nilikua naiwaza sana, kwa nn pogba hua hapetfom vile kwenye big match? Jibu ni kwamba na yeye ni mchezaji wa kawaida tu siwezi kumuita world class player.