Nani hajui watuhumiwa hupata kibano rumande kusema kweli leo mnamgeuzia kibao Sabaya kwa kua Magufuli kafa?

Maovu yenyewe kuwazuia kuzalisha na kusambaza gongo kwa industrial scale, kuwazuia kutengeneza na kusambaza fedha bandia etc etc. Yaani chuki zote ni kuzuia ujanja wa kiahalifu wa wamangi kufanya kazi.
Kwa hiyo sasa gongo zinazalishwa na fedha bandia zinasambazwa!
 
Maovu yenyewe kuwazuia kuzalisha na kusambaza gongo kwa industrial scale, kuwazuia kutengeneza na kusambaza fedha bandia etc etc. Yaani chuki zote ni kuzuia ujanja wa kiahalifu wa wamangi kufanya kazi.
Tarehe 02/07 nenda Court ukawe witness wake
 
Sasa kwanini kesi iko Arusha na sio Hai! Unaweza kutupia mwanga kidogo hapo?
 
Jitahidi aone bandiko lako huku kuwa unajitahidi kumsafisha.
 
Hivi huko CCM mmejaa vilaza msiojua hata mambo madogo kama haya? Kwamba DC kuwa mwenyekiti wa KUU kunampa mamlaka ya kukamata, kupeleleza na kuhukumu? Hata sheria ya Tawala za Mikoa 1997 hujajihangaisha kuisoma ukajua mipaka ya utendaji wa DC & RCs kuhusu jinai, wewe umelipuka tu Dc akamate kila kitu kama Mbaka panzi?
 
Hata huyo Magufuli wako tulikuwa tunamsubiri tu angesulubiwa kama hao watumwa wake bahati yake kafa mapema nadhani alikuwa anajijua ndio maana aliona either kama atasavaivu aongeze muda wa kukaa madarakani maana tungemla nyama mbichi.
 
Milembe hospital, ndiyo mahali sahihi wewe kuwepo. Hapo JF ni mahali kwaajili ya wenye afya nziri ya akili.
 
Kurudisha nidham ya kulipa Kodi ni Kaz ya TRA na siyo Mkuu wa wilaya,anawatishia wafanya biashara na kuwaomba rushwa Ili awasaidie kukwepa Kodi huo ni uhujum uchumi wa nchi hii,unamtetea kwa lipi
 
Mtoa mada ubongo wake ni mdogo sana!
Watetezi wa Sabaga wanajua soon or later wataunganishwa kwenye kesi ya Sabaya ndio maana wanajaribu kujihami kwa utetezi. Hakuna siri iliyodumu inayohusisha watu zaidi ya wawili,hakuna!
 
Mtoa mada ubongo wake ni mdogo sana!
Watetezi wa Sabaga wanajua soon or later wataunganishwa kwenye kesi ya Sabaya ndio maana wanajaribu kujihami kwa utetezi. Hakuna siri iliyodumu inayohusisha watu zaidi ya wawili,hakuna!
Kula like 5 mkuu
 
Kwa hiyo Sabaya kaonewa si ndiyo mkuu?
Hivi unajua Magufuli angekuwa na hofu ya Mungu angeishi miaka yake timilifu Duniani, yaani at least angekufa akiwa nje ya Urais at least ana miaka 82 au zaidi,ila kwa jinsi alivyokuwa katili ndo maana Mungu akasitisha uhai wake ili kuwanusuru mamilioni ya Watanzania aliokuwa akiwatesa.....
ASANTE MUNGU KWA KUIPENDA TANZANIA

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
"Uhalifu wa mbowe" auhalalishi ualifu wa mwengine.
 
Hawa watoto wa Pido hawawezi kukuelewa; hata ingetokea Ole Sabaya akawa hajatuhumiwa vyovyote vile, lakini kwa kuondolewa kwake wangeshangilia mchana kutwa na usiku kucha.

Si ajabu wameanza kumwandama Ally Happi. Shame!!!
Kwa hiyo ni wapinzani tu ndo huwa wanatakiwa kuwa na jinai?
Ikitokea mwana CCM ana hatia basi kaonewa,nyie watu huwa ni wajinga na wapumbavu kupindukia sijawahi kuona majitu shenz taipu Kama nyie....

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…