Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Duu ! mahakama ziko huru zitatenda haki mahakama zinawatu wenye weledi wa kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muone alivo pauka utazan wame mwagia majivu usoni
kmbwembwe njoo usome UHARO wako hapa tena.Nimeona clip za video za baadhi ya watu wanaodai kuteswa na Sabaya. Zaidi ya madai yao hawaelezi wameteswa wapi na kwa sababu gani. Sabaya alikua Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya. Kwenye kamati hiyo wako wakuu wa vyombo vya ulinzi. Clip za Sabaya akienda kukamata au kupeleleza zinaonyesha wakikuta muhalifu anawakabidhi wahusika kisheria kushughulikia.
Usalama kwenye upelelezi hakuna asiejua wanatumia pia mbinu ya kumpiga au kumtesa mshukiwa kupata ushahidi. Kwenye jimbo la Hai Sabaya amepambana na uhalifu mkubwa wa aina mbalimbali na ukwepaji kodi mkubwa. Hili ni jimbo Mbowe kiongozi wa upinzani alitaka kuonekana kama ni mfalme.
Kwa maoni yangu wengi waliyotiwa kibano kwa kushukiwa na uhalifu au fujo za kisiasa wanamuona sabaya ndio adui na mtesi wao wakati wamehusishwa na uvunjaji wa sheria.
Serikali hii ya samia imeliendea kwa papara swala la sabaya kwa kufuata fitna za chuki. Kuna wapinzani wanaamini yeye ni mtu wao aliyekua chini ya magufuli hivyo wamemletea fitna za uongo.
Baada ya hukumu ya Jana bado unaendelea na msimamo wako au unafuta kauli?Nimeona clip za video za baadhi ya watu wanaodai kuteswa na Sabaya. Zaidi ya madai yao hawaelezi wameteswa wapi na kwa sababu gani. Sabaya alikua Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya. Kwenye kamati hiyo wako wakuu wa vyombo vya ulinzi. Clip za Sabaya akienda kukamata au kupeleleza zinaonyesha wakikuta muhalifu anawakabidhi wahusika kisheria kushughulikia.
Usalama kwenye upelelezi hakuna asiejua wanatumia pia mbinu ya kumpiga au kumtesa mshukiwa kupata ushahidi. Kwenye jimbo la Hai Sabaya amepambana na uhalifu mkubwa wa aina mbalimbali na ukwepaji kodi mkubwa. Hili ni jimbo Mbowe kiongozi wa upinzani alitaka kuonekana kama ni mfalme.
Kwa maoni yangu wengi waliyotiwa kibano kwa kushukiwa na uhalifu au fujo za kisiasa wanamuona sabaya ndio adui na mtesi wao wakati wamehusishwa na uvunjaji wa sheria.
Serikali hii ya samia imeliendea kwa papara swala la sabaya kwa kufuata fitna za chuki. Kuna wapinzani wanaamini yeye ni mtu wao aliyekua chini ya magufuli hivyo wamemletea fitna za uongo.
Takataka ndani ya jaa la taka.Nimeona clip za video za baadhi ya watu wanaodai kuteswa na Sabaya. Zaidi ya madai yao hawaelezi wameteswa wapi na kwa sababu gani. Sabaya alikua Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya. Kwenye kamati hiyo wako wakuu wa vyombo vya ulinzi. Clip za Sabaya akienda kukamata au kupeleleza zinaonyesha wakikuta muhalifu anawakabidhi wahusika kisheria kushughulikia.
Usalama kwenye upelelezi hakuna asiejua wanatumia pia mbinu ya kumpiga au kumtesa mshukiwa kupata ushahidi. Kwenye jimbo la Hai Sabaya amepambana na uhalifu mkubwa wa aina mbalimbali na ukwepaji kodi mkubwa. Hili ni jimbo Mbowe kiongozi wa upinzani alitaka kuonekana kama ni mfalme.
Kwa maoni yangu wengi waliyotiwa kibano kwa kushukiwa na uhalifu au fujo za kisiasa wanamuona sabaya ndio adui na mtesi wao wakati wamehusishwa na uvunjaji wa sheria.
Serikali hii ya samia imeliendea kwa papara swala la sabaya kwa kufuata fitna za chuki. Kuna wapinzani wanaamini yeye ni mtu wao aliyekua chini ya magufuli hivyo wamemletea fitna za uongo.
Bado unaamini ulichokiandika?Hawa watoto wa Pido hawawezi kukuelewa; hata ingetokea Ole Sabaya akawa hajatuhumiwa vyovyote vile, lakini kwa kuondolewa kwake wangeshangilia mchana kutwa na usiku kucha.
Si ajabu wameanza kumwandama Ally Happi. Shame!!!
Kwaujinga huu angalia usijekula MafyakoNimeona clip za video za baadhi ya watu wanaodai kuteswa na Sabaya. Zaidi ya madai yao hawaelezi wameteswa wapi na kwa sababu gani. Sabaya alikua Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya. Kwenye kamati hiyo wako wakuu wa vyombo vya ulinzi. Clip za Sabaya akienda kukamata au kupeleleza zinaonyesha wakikuta muhalifu anawakabidhi wahusika kisheria kushughulikia.
Usalama kwenye upelelezi hakuna asiejua wanatumia pia mbinu ya kumpiga au kumtesa mshukiwa kupata ushahidi. Kwenye jimbo la Hai Sabaya amepambana na uhalifu mkubwa wa aina mbalimbali na ukwepaji kodi mkubwa. Hili ni jimbo Mbowe kiongozi wa upinzani alitaka kuonekana kama ni mfalme.
Kwa maoni yangu wengi waliyotiwa kibano kwa kushukiwa na uhalifu au fujo za kisiasa wanamuona sabaya ndio adui na mtesi wao wakati wamehusishwa na uvunjaji wa sheria.
Serikali hii ya samia imeliendea kwa papara swala la sabaya kwa kufuata fitna za chuki. Kuna wapinzani wanaamini yeye ni mtu wao aliyekua chini ya magufuli hivyo wamemletea fitna za uongo.
Baada ya jukumu ya Jana bado unaendelea na msimamo wako au unafuta kauli?
Usipende kutetea ujinga hata Kama wa nyumbani kwako kaufanya. Penda Hali zaidi na Mungu atakubariki
Huyu kmbwembwe kapotelea wapi, mwambieni anatakiwa arudi hapa kuutetea upumbavu wake. Hii inchi imeharibiwa sana na haya matakataka yaliyototolewa kwenye mikesha ya mwenge...yote hayana akili.Nimeona clip za video za baadhi ya watu wanaodai kuteswa na Sabaya. Zaidi ya madai yao hawaelezi wameteswa wapi na kwa sababu gani. Sabaya alikua Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya. Kwenye kamati hiyo wako wakuu wa vyombo vya ulinzi. Clip za Sabaya akienda kukamata au kupeleleza zinaonyesha wakikuta muhalifu anawakabidhi wahusika kisheria kushughulikia.
Usalama kwenye upelelezi hakuna asiejua wanatumia pia mbinu ya kumpiga au kumtesa mshukiwa kupata ushahidi. Kwenye jimbo la Hai Sabaya amepambana na uhalifu mkubwa wa aina mbalimbali na ukwepaji kodi mkubwa. Hili ni jimbo Mbowe kiongozi wa upinzani alitaka kuonekana kama ni mfalme.
Kwa maoni yangu wengi waliyotiwa kibano kwa kushukiwa na uhalifu au fujo za kisiasa wanamuona sabaya ndio adui na mtesi wao wakati wamehusishwa na uvunjaji wa sheria.
Serikali hii ya samia imeliendea kwa papara swala la sabaya kwa kufuata fitna za chuki. Kuna wapinzani wanaamini yeye ni mtu wao aliyekua chini ya magufuli hivyo wamemletea fitna za uongo.
Duh, unawaza kwa kutumia nini??Maovu yenyewe kuwazuia kuzalisha na kusambaza gongo kwa industrial scale, kuwazuia kutengeneza na kusambaza fedha bandia etc etc. Yaani chuki zote ni kuzuia ujanja wa kihalifu wa wamangi kufanya kazi.
Si ungeenda mahakamani kumtetea badala ya kubwabwaja hukuNimeona clip za video za baadhi ya watu wanaodai kuteswa na Sabaya. Zaidi ya madai yao hawaelezi wameteswa wapi na kwa sababu gani. Sabaya alikua Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya. Kwenye kamati hiyo wako wakuu wa vyombo vya ulinzi. Clip za Sabaya akienda kukamata au kupeleleza zinaonyesha wakikuta muhalifu anawakabidhi wahusika kisheria kushughulikia.
Usalama kwenye upelelezi hakuna asiejua wanatumia pia mbinu ya kumpiga au kumtesa mshukiwa kupata ushahidi. Kwenye jimbo la Hai Sabaya amepambana na uhalifu mkubwa wa aina mbalimbali na ukwepaji kodi mkubwa. Hili ni jimbo Mbowe kiongozi wa upinzani alitaka kuonekana kama ni mfalme.
Kwa maoni yangu wengi waliyotiwa kibano kwa kushukiwa na uhalifu au fujo za kisiasa wanamuona sabaya ndio adui na mtesi wao wakati wamehusishwa na uvunjaji wa sheria.
Serikali hii ya samia imeliendea kwa papara swala la sabaya kwa kufuata fitna za chuki. Kuna wapinzani wanaamini yeye ni mtu wao aliyekua chini ya magufuli hivyo wamemletea fitna za uongo.
huyu jamaa ni mmalaya flan anagawa papuch kwa sahan moja ya kyepe zegeMaovu yenyewe kuwazuia kuzalisha na kusambaza gongo kwa industrial scale, kuwazuia kutengeneza na kusambaza fedha bandia etc etc. Yaani chuki zote ni kuzuia ujanja wa kihalifu wa wamangi kufanya kazi.