Nani hajui watuhumiwa hupata kibano rumande kusema kweli leo mnamgeuzia kibao Sabaya kwa kua Magufuli kafa?

Acha kulia lia humu hatakusaidia kitu. Peleka hoja zako Mahakamani hapo Arusha ili ukajue kipimo cha UJINGA wako.

Vitendo vya Sabaya ni uhalifu wake binafsi akitaka kujikomba kwa Mwendazake, period
 
Wewe uliambiwa wapi mkuu wa Wilaya mojawapo ya kazi yake ni kukamata na kutesa?

Uliambiwa wapi mkuu wa Wilaya anatafuta vielelezo?

Je kazi ya polisi na takukuru ni ipi?

Je kwa Nini hakutumia vyombo vilivyokua Chini yake badala yake kaajiri wezi wenzake ambao sio waajiriwa wa serikali kufanya kazi ya polisi, TRA na takukuru
 
Upande wa mashtaka, umepeleleza na unao ushahidi wa kuthibitisha pasi kuacha tuhuma dhidi ya Sabaya, kwa upande mwingine wewe unaongea kwa mtazamo wako tu ati na kutuhumu waliomshaki, "wamekurupuka".

Mahakama itaamua kisheria na Sabaya hana namna yoyote ya kutetewa isipokuwa kisheria tu.
 
Halafu kuna mpumbavu kakupa like moja kwa upuuzi huu ulio comment hapa,kwa hiyo Rais Samia ni CHADEMA ndo maana kakubali Sabaya aonewe?
Nyie watu wa CCM huwa ni mavi mabichi ya mbwa koko... Ni wajinga na hakuna wa kuwalinganisha naye.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, Mataga yanalia yanadai Rais Samia ni CHADEMA ndo maana Sabaya kakamatwa

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
kweli bongo we dont have shortage of fools and idiots, simungoje upande wa masitaka ulete usahidi na nyinyi mataga wa mweda zake mulete wenu korti iamue, mama samia atawanyoosa nyinyi
Acha ujinga wee tumbo kubwa. Kama huna hoja bora ukae kimya. Of cause we don't have shortage of fools and idiots like you.
 
Acha ujinga wee tumbo kubwa. Kama huna hoja bora ukae kimya. Of cause we don't have shortage of fools and idiots like you.
Mjinga na bonge la Idiot Duniani ni wewe, stupid kabisa nyie watu,akikamatwa CCM kwa jinai kaonewa, akikamatwa CHADEMA mnashangilia, kwamba nyie ni malaika huwa hamkosei,jinga sana nyie watu.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Mataga acheni kutumia makalio kufikiri.
Robbery kafanyia Arusha inahusikaje na Hai? Hiyo ndio itampiga mimba tulieni muone majambazi wakubwa nyie
ilifaa asikuibie hizo elfu 20 pekee.alitakiwa akukate rinda kabisa.maana akili huna.
 
Hawa watoto wa Pido hawawezi kukuelewa; hata ingetokea Ole Sabaya akawa hajatuhumiwa vyovyote vile, lakini kwa kuondolewa kwake wangeshangilia mchana kutwa na usiku kucha.

Si ajabu wameanza kumwandama Ally Happi. Shame!!!

Kwani Ally Happi naye ni mmoja wa wale wa miaka ya 80 aliowaongelea Mama wenye kumsumbua mwendazake?
 
SABAYA ata KWA mfuko mzima wa sabuni ya unga hasafishiki, bibi bia kule Arusha , amemuongezea laana kwa kuuza shamba la baba yake na kufanya wajukuu wake kuishi kwa shida

Avune alicho panda
 
Please jitahidi kuona aibu japo kidogo... Sabaya ni mchafu sana!
 
Huyu mama alikuwa mhalifu wa nini ?
Your browser is not able to display this video.
 
Unazijua kazi za mwenyekiti wa ulinzi na usalama au umetoka kunywa ulanzi unaropoka tu?

Yeye akifanya upelelezi na kubana washukiwa, polisi idara upelelezi, watafanyakazi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…